tuna wapenda sana watoto wetu.
tunawapa vifaa vya kuchezea
tuna jua kuwa michezo yao huibua vipaji.....
michezo kwa watoto ni afya
na kipaji cha mtoto uanzia michezoni
mimi ninawapenda sana watoto
hao ndio taifa letu la kesho
tuwajengee mazingira mazuri ya kucheza
wawe na furhaaaa iliyo pitiliza
wao wana penda kujifunza kutoka kwa wenzao
pia uigilizana kadri wanavyo kua
furahaa ya mtoto ndio furahaaa ya mzazi
DIARY OF ELIA KIM MWALUKALI
No comments:
Post a Comment