PAMBIO
NATAKA KUMJUA MUNGU
NATAKA KUMJUA MUNGU
NATAKA JUA MAPENDO YAKE
NATAKA JUA NA WEMA WAKE
NATAKA KUMJUA MUNGU X2
MIMI NI MWENYE ZAMBI
MIMI NI MWENYE MAKOSA
NAMTAFUTA MUNGU
KWENYE MILIMA MABONDE
NAMTAFUTA MUNGU
KWENYE MITO MAZIWA
NATAKA KUMJUA MUNGU
ANISAMEHE MAKOSA
ANIFUTA ZAMBI
NATAKA KUMJUA MUNGU
ANIFANYE MTOTO WAKE
NATAKA KUMJUA MUNGU
NATAKA KUMJUA MUNGU
LIMEANDIKWA TAREHE 22/01/2013
BY ELIAKIM MWLUKALI
No comments:
Post a Comment