HAWA NI WANA FUNZI WA MWAKA WA TATU
WALIKUA WAKI FANYA PRESENTATION YA KISWAHILI
MIMI PIA NILIPAFOMU KWA STEJI
HAPA NILIKUA NAIMBA WIMBO WA "MATESO YAKO MWALIMU"
NILICHEZA NA KUKATA KIUNO...DARASA LILIAGUA VICHEKOOOOO
IGIZO LILIENDEREA...HUYU NI MWALIMU ANAIGIZA
TULIPO MALIZA TULIPATA MARKS 10 CHINI YA 15
HILI KUNDI LILIJADIRI MABO YA USHAIRI
MSOMAJI ANAENDEREA KULISOMA SHAIRI
HAWA NI WASOMI WA TAIFA LETU
TUPO HURU KUTUMIA COMPYUTA DARASANI
HUYU NI MWALIMU WETU WA KISWAHILI ANAITWA ESTA
TAIFA LENYE WASOMI NDIO TAIFA BORA DUNIANI
WAPEWE UHURU WA KUTOSHA
LEO J\IJUMAA TULIPATA MGENI
MGENI HUYO ALIKUA NI BALOZI
BALOZI KUTOKA NORWAY
HUYU NDIE BALOZI KUTOKA NORWAY
ALIJADIRI MAMABO YA EQUALITY....PAMOJA NA MADINI KAMA VILE MAFUTA NA GESI
ALIHUSIA MAMBO YA VIFO KWAMBA VIMEPUNGUA DUNIANI....ULAYA KUNA USAWA KATI YA MWANA MKE NA MWANAUME..
KIKUNDI CHA ALAMA KILIMPA ZAWADI YA TSHIRT NA CD YA ALAMA
BIBI ALIFURAHI SAANA
PIA ALIPIGA PICHA NA WALIMU WA CHUO
No comments:
Post a Comment