Friday, January 11, 2013

MATESO YANGU MWALIMU

WIMBO......................MATESO YAKO MWALIMU.

1,MAISHA SAFARI TABU,MATESO YANGU MWALIMU,
   KAZI NYINGI NI ADHABU,MALIPO NAYO HADIMU,
   SINA MAKAZI KUDUMU,USAFIRI NAO MGUMU,
   MATESO YANGU MWALIMU,MATESO YANGU MWALIMU.  




2,MSHIKA MBILI PONYOKA,ANGALIA NINAVYOCHOKA,
   KUTANGATANGA NATAKA,HARAKA YENYE BARAKA,
   NIMEFUNGUA VICHAKA,NJONI NIWAPE WARAKA,
   NIPATE ZANGU SADAKA,ILI NIZIBE  VIRAKA.



3. MWALIMU NIPO MPWEKE,SIAFU WANANICHOSHA,
    JAMII ISIJE NICHEKE,LAWAMA NAYO MAKEKE,
    NIMEFUNGUA VICHAKA ,NJONI NIWAPE WARAKA,
    NIPATE ZANGU SADAKA,ILINIZIBE V
 

No comments:

Post a Comment