Saturday, January 5, 2013

 huyu ni dad yangu anaitwa aginess kalomo
 ni mpole sana na pia ana hekima nyingi
 yupo tayari kumsaidia mtu chochote anachoitaji
 huyu pia ni rafiki yangu.....yeye asikiii wala haongei....lakini ni msomiii...na pia ni mtaalamu wa lugha ya alama(sign language)
 cheki mabest walivyo furahiii....mgonile aba manyani bangu...mlibakafu mwe...ni wanyakyusa saaaafiiiii
 cheki huyu bibi ana miaka 75 hivi
 umewacheki mabest wangu wa ukweli
 nipe tano
 amosi na justine ni marafiki saaana
 huyu anaitwa anyasime mwasanje....
 with pozi la nguvu

 hapa nilipokua darasa la kwanza ..nipo na mdogo wangu alienifata anaitwa Naomi abel mwalukali
 waooooo.....who this..its me Elia kim
 watoto wa kijijini haooooo
 hawa nao mbona kichekeshoooooooo
 hapa ni mwaka jana wasambaa walinipa kofia ya ngozi ya ng'ombe

huyu ni pasta wa kanisa anaitwa dk. moller 
jamaaani hutafikiri Im in love......waoooo she love me.........its just a photo ........msifikirie vibaya jamanii ni picha tu
nilipiga hii picha na mwalimu kutoka ujerumani anaitwa carina kuss......white is beautifully....black is cute..au  sio jamaniii

No comments:

Post a Comment