waooooo.....oooosh....nampenda san huu kiumbe
ubadirika rangi kila wakati
macho yake ingawa ni madogo lakini huyageuza geuza hadi raha
ana mdomo mpana.......ana ulimi mrefu.......ana mkia wa kujiviringa.....ana rangi bilioni .na mabilion
ni mpole saaana.......upenda kupanda juu ya miti...akitaka kuzaaa uzalia juu ya miti......pia anapozaa tumbo upasuka
jina lake kinonga wazungu wana mwita" chamilion"
maua mazuri yapendeza
maua mazuri yapendeza
ukiyatazama yanamelemeta
maua mazuri yapendezaaa
maua mazuri yapendezaaa
ukichoka waitaji kupumzika...
we are together
together forever
even in the dark we will shine forever
No comments:
Post a Comment