NINA WIMBO
NINA WIMBO
NIMEPAMBAKWA UREMBO
NITAIMBA KWA MARINGO
TAMU TAMU ZAKE TUNGO
KUMWIMBIA WANGU MPENZI
BABA WA VIZAZI
VIZAZI VYA DUNIANI
NI FURAHAA JUU MBINGUNI
AWAPONYA WAGONJWA
NA WOTE WALIOSHINDWA
WENYE SHIDA ANAWAITA
BWANA ATAWAPUMZISHA
NI MAJI YA MILELE
ALIYE TUPENDA MBELE
JINA LAKE IMMANUELI
NAMWIMBIA WIMBO KWELI
MWANA WA MBINGUNI
LILIANDIKWA DEC 2012
BY ELIA KIM MWALUKALI
No comments:
Post a Comment