Friday, January 11, 2013

HAYA SIO MAPENZI

1,MAPENZI YA WAWIL,MIMI SIYAWEZI,
HAYA SIO MAPENZI,HUO NI UCHOKOZI,
UNIPENDE MIMI KWANZA ,UMPENDE NA MWINGINE,
UNIACHE MIMI KWANZA ,UENDE KWA MWINGINE,






KIITIKIO
UNAYALISHA SUMU MAPENZI,
YATAKUJA KUKUPA KAZI,
UNAYALISHA SUMU MAPENZI,
YATAKUJA KUKUPA CHOZI,
UNAYALISHA SUMU MAPENZI,
YATAKUTOA TONGO TONGO,
UNAYALISHA SUMU MAPENZI,
UNAYAUA MAPENZI,



2.UNIPENDE MIMI KWANZA ,UMPENDE NA MWINGINE,
   UNIACHE MIMI KWANZA ,UENDE KWA MWINGINE,
   MAPENZI YA WAWILI, MIMI SIYAWEZI,
   HAYO SIO MAPENZI,UO NI UCHOKOZI.






3,TULIA KWANGU MIE,TULIA WANGU BIBIE,
   KULA VYANGU MTOTO,KULA VYA MOTOMOTO,
   KWANI KULUKA UKUTA,KUMEPITWA NA WAKATI,
   HAYOSIO MAPENZI,UO NI UCHOKOZI,
   AYO SIO MAPENZI,UO NI UPUUZI

































No comments:

Post a Comment