Friday, January 11, 2013

TUMIA KISWAHILI.........

WIMBO........................TUMIA KISWAHI   

 KATIKA DUNIA LEO,UKITAKA MAENDEREO,
 NAKUPA MOJA SILI,TUMIA KISWHAHILI,
 MWENYEWE UTAKILI,KISWAHILI NI ASALI,
 UKITAKA PATA ELIMU,UKITAKAPATA AJIRA,
 JAMBO MOJA MUHIMU,TUMIA KISWAHILI,
 TUMIA KISWHAHILI,PAMBANUA FIKIRI,
  MWENYEWE UTAKIRI,KISWAHILI NI ASALI.



SISI WATANZANIA,KISWAHILI TWAJIVUNIA,
UMOJA WETU WAKWELI,TUKITETE KISWAHILI,
TUKILINDE KISWAHILI,TUKITUNZE KISWAHILI,
KISWAHILI LULU YETU MAMA WA AFRICA,
TUKIHARIBU KISWAHILI,TUTASIKITIKA KISWAHILI,
MIMI SIONI AIBU KUKISIFU KISWAHILI,
MWENYEWE NINAKIRI,KISWAHILI NI ASALI.



CHORUS
KISWAHILI NI ASALI,NIZAIDI YA ASALI,
KISWAHILIYANGU MALI,UTAJIRI WADUNIA,
UTAMADUNI ASILI,LULU YETU TANZANIA,
MAMA WA AFRICA MATAIFA YALILIA,
KISWAHILI NI ASALI,KISWAHILI NI ASALI,
KISWAHILI NI ASALI,KIMEKOREA SUKARI,
KISWAHILI NI ASALI,NI ZAIDI YA ASALI





NB..
   SHAIRI HILI NILILITUNGA NIKIWA  DARESALAAM 
    MWAKA 2012.....MWEZI WA TISA
                   MUNGU KIBARIKI KISWAHILI..

ELIA KIM  MWALUKALI




No comments:

Post a Comment