Tuesday, January 22, 2013

BILA MALIGO........BILA MAJIVUNO

                                      BILA MALINGO     BILA MAJIVUNO




1

INGAWA MIMI NI MASKINI
MAISHA YANGU MIMI NI DUNI,
NINA ROHO NZURI YA AJABU,
INAYOPENDA KUSAIDIA TABU
IMECHANANYIKANA NA UKARIMU
HAKIKA ROHO YANGU HAINA MFANO
NIPO TAYARI HATA KUKUKIRIMU
BILA MALINGO, BILA MAJIVUNO
BILA MALINGO,BILA MAJIVUNO
BILA MALINGO,BILA MAJIVUNO,






2
CHOCHOTE MIMI NINA KIDOGO
NITAKITOA BILA MALINGO
NI MWINGI MWENYE ROHO HURUMA
UPOLE HEKIMA,BUSARA NA WEMA
NIPO TAYARI KUKUSAIDIA
SHIDA ZAKO ZOTE NIELEZIA,
NIKIWA NA UWEZO
WA KUFANYA HIVYO
HATA ROHO YANGU NITAKUPA
BILA MALINGO BILA MAJIVUNO



CHORUS

BILA MALINGO BILA MAJIVUNO
MASIKINI KWA MATAJIRI
TUSAAIDIANE TUHURUMIANE
BILA MALINGO BILA MAJIVUNO
MAIKINI KWA MATAJIRI
TUSAIDIANE TUHURUMIANE


BY ELIA KIM MWALUKALI
LILIANDIKWA NIKIWA  MBEYA SAE
NOVEMBER 2012
KWA MSAHADA WA KITABU CHA
VUTA N' KUVUTE

No comments:

Post a Comment