hiii ni balabala ya chuo cha sekomu
kuna miti mingi sana
maua yana vutiaaaa
chuo kinaonekana vizuri sana
jengo jipya.....a.k.a meli
lina vutia saaanaa
waooooo ...utalipenda
kila kitu kipo ndani
hili ni jengo la kiwanda cha mbao
kiwanda kipo karibu na jengo jipya
view ya jengo jipya
miyi ni mingi na mvua ni nyingi pia
No comments:
Post a Comment