MAPENZI YAKUTOSHA
WATU WENGI WANALALAMIKA,
HAKUNA RAHAA DUNIANI,
WATU WENGI WANASIKITIKA,
HAKUNA RAHAA DUNIANI,
ILAWAPO WANAOFARIJIKA,
MAPENZI YAWATOSHA,
MAPENZI NDIO RAHAA KAMILI,
MAPENZI YAWATOSHA,
KWANI WAMEYAONJA MAPENZI,
WANAPATA RAHAZO KAMILI......*2
CHORUS
UKITAKA PATA RAHAZOOO
MAPENZI YANA KUTOSHA
UKITAKA PATA RAHAZOOO,
MAPENZI NDIO RAHAA KAMILI,
MAPENZI YAKUTOSHA ,
MTUNZI:ELIA KIM MWALUKALI.4.1.2013
No comments:
Post a Comment