Sunday, January 6, 2013

song               mamaa n'tilie



verser 1
mimi kula kwa mama nitilie,
naona kama napoteza pesaa,
na tena mimi nina jitesaa,
mamanitilie maama kupe,
bepari maama nyonyaji,
bahili mkono wa birika,



chorus

mama nitilie ...mamaaaaaa
mama nitilie....mmaaaaaaa
mama nitilile...mamaaaaaa
mama nitilie......mamaaaaa

verser2.
angalia nimtoa dolla moja,
lakini bado mama sijashiba,
kwani umenipunja chakula,
ni bora niende nyumbani,
nikajilie wali na bata.
(repeat chorus)




verser 3
mama nimepoteza mapesaa,
umenilisha lakini sijashibaa,
ninakondaa nadhoofikaaaa,
ngombe wa masikini akizaa,
masikini ananenepaaaaaaa.


No comments:

Post a Comment