wimbo
tungependa tusikie sauti zetu
sauti zetu zimejaa mapenzi tu
sio zambi tukisema twapenda
hata mioyo inasema hivyo hivyo
sio zambi tukisa twapendana
hatamola anapenda hivyo hivyo
kiitikio
maskini kwa tajiri tupendane
ulienacho usie nacho tupendane
hatamola anapenda hivyo hivyo
tupendane tupendane tupendane.
tupendane tupendane tupendane
bet la 2
dunia yetu inalilia mapendo
tuhurumie tusaidie tushirikie
pasiwepo migogoromifarakano
amani upendo umoja vitawale
sio zambi tukisema twapendana
hata molaanapenda hivyo hivyo
limeandikwa tarehe...21 /01/2013
by elia kim mwalukali
No comments:
Post a Comment