Monday, January 7, 2013

TUMSIFU THE GREATEST DID GOOD JOB.

HIZI PICHA NILIPIGA MWAKA2011
 RAFIKI YANGU ANAITWA TUMSIFU THE GREATEST ALINIPIGA HIZI PICHA
 ANA PIGA PICHA VIZURI SANA
 PIA YEYE NI VIDEO PRODUCER,MUZIC PRODUCER NA PIA NI MCHORAJI MBUNIFU

HAKIKA KAZI ALIYOIFANYA INASTAHILI PONGEZI
 NILIVUTIWA SAANA NA JINSI ANAVYO PIGA PICHA
 WAOOOO KAMA NIPO ULAYA VILE
CHATTER
 ....TOGETHER
 ITS TUM WHO DID IT?
 YES ITS HIM
CONGRATS TUM THE GREATEST

No comments:

Post a Comment