1
EWE MWENYE ROHO MBAYA
TENDA WEMA NENDA ZAKO
USISUBIRIE FADHILA
MOLA NDIE MGAWA FADHILA
KWANI KAJA MASIKINI
LAKE BAKURI MKONONI
NAOMBA UGALI NA MCHUZI
UKAMWANGALIA KWA CHUKI
2
EWE MWENYE ROHO MBAYA
MDOMO UKAJATAMKA
EMBU NIIONDOKIE HAPA
AFADHALI HATA MBWA
ANAYEOKOTEZA JAAANI
KULIKO WEWE MASIKINI
MTEGEMEA CA NDUGUYE
EWE MWENYE ROHO MBAYA
EWE MKONO WA BIRIKA
3
EWE MWENYE ROHO MBAYA
KESHA KUFA MASIKINI
UNALIA MSIBANIII
UNALILIA KININI
UNAMLILIA NANI
EWE MWEYE ROHO MBAYA
EWE MWENYE ROHO MBAYA
EWE MWENYE ROHO MBAYA
KIITIKIO
EWE MWENYE ROHO MBAYA
ROHO YAKO YENYE KUTU
TENDA WEMA NENDA ZAKO
USISUBIRIE FADHILA
DUNIA NI KUSASAIDIA
MOLA NDIE MGAWA FADHILA
No comments:
Post a Comment