song wacha niseme
verser1
ningependa usikilize sauti yangu,
sauti yangu imejaa mapenzi tuu,
sio zambi nikisema nakupenda,
moyo wangu ndivyo unavyosema.
chorus
wacha niseme ninakupenda
wacha niseme.
wacha niseme nina kupenda,
wacha niseme.
verser 2.
ningependa nisikilize sauti yako,
sauti yako imejaa mapenzi tuu,
sio zambi ukisema wanipenda,
moyo wako ndivyo unavyo sema.
(repeat chorus)
verser 3.
tunapenda tusikie sauti zetu,
sauti zetu zimejaa mapenzi tuu,
sio zambi tukisema twapendana,
tunahaki ya kupenda na kupendana,
na mioyo yetu ndivyo inavyo sema
(repeat chorus)
No comments:
Post a Comment