Thursday, January 24, 2013

UNI FUNDISHE KUSALI

                                                       UNIFUNDISHE KUSALI
1
MWALIMU WANGU, MWALIMU WANGU
MWALIMU WANGU, MWALIMU YESU X2



CHORUS
UNIFUNDISHE, UNIFUNDISHE,
UNIFUNDISHE,KUSALIX4



2
NAKUAMINI,NAKUAMINI,
NAKUAMINI,NAKUAMINI YESUX2


UNIFUNDISHE,UNIFUNDISHE,
UNIFUNDISHE,KUSALIX4





3
WAKATI WOTE,WAKATI WOTE,
WAKATI WOTE,NIWE PENDONIX2

UNIFUNDISHE,UNIFUNDISHE
UNIFUNDISHE ,KUSALIX4




4
SINTAWEZA, SINTAWEZA,
SINTAWEZA,BILA YESUX2

UNIFUNDISHE,UNIFUNDISHE,
UNIFUNDISHE,KUSALIX4





MUZIK STOP
(MANENO YA KUTAMKA)


EWE BABA, WA MBIGUNI,
JINA LAKO.LITUKUZWE,
MAPENZI YAKO,YATIMIZWE,
DUNIANI NA MBINGUNI,
UTUPE LEO,RIZIKI YETU,
UTUSAMEHE,MAKOSA YETU,
KAMA TUNAVYO ,WASAMEHE,
WOTE WALIO,TUKOSEA,
USITUTIE,JARIBUNI,
TUOKOE, NA YULEMWOVU.


UNIFUNDISHE,UNIFUNDISHE,
UNIFUNDISHE,KUSALIX6



ASANTE MUNGU KWA KUNIPA KIPAJI CHA KUKUIMBIA SIFA ZAKO
NAOMBA UNIFUNDISHE KUSALI

LILIANDIKWA TAREHE 24/01/2013
BY ELIA KIM MWALUKALI

No comments:

Post a Comment