Tuesday, January 22, 2013

NILICHEREWA KUPENDA

                                                NILICHEREWA KUPENDA
1
NILICHEREWA KUPENDA,
SIKUYAJUA MAPENZI
KUMBE NAJITIA DONDA
KUKAA BILA MWEZI
WAPO WALIOJIGONGA
NILIKANYAGAKANYA
MWILIWANGU HAUKUWA
JENGO LA MAPENZI
NILIONA MAPENZI
HAYANA MAANA
NILIONA MAPENZI
HAYANA MAANA



WOTE;

MMAPENZI NI MATAMU
KWA WAJUAYO
HAYAWEZI ISHA HAMU
KWA WAWAYATAFUTAYO
NILICHEREWA KUPENDA
NILICHEREWA KUPENDA
NILICHEREWA KUPENDA
KWANI NILIJIPOTEZA




2

MAPENZI NI MATAMU
NILIPOPATWA NA HAMU
KAMA MWENDAWAZIMU
NATAKA TENATENA
SANA SANA DAWAMU
ONGEZA TENA TENA
NIMELAMBA ASALI
NAKUCHONGA MZINGA
ONGZA TENA TENA
NATAKA  TENA TENA
NATAKA TENA TENA
ONGEZA TENA SANA





BRIDGE

NATAKA TENA TENA
ONGEZA TENA SANA
NATAKA TENA TENA
ONGEZA TENA SANA X2














No comments:

Post a Comment