WIMBO
MAPENZI
1
NALALAMIKA
NAHUZUNIKA
NASIKITA
NINATESEKA
NATANGATANGA
NASUMBUKA
NAYALILIA
NAYATAFUTA
MAPENZI
NAMI NIPEWE
NISINYIMWE
MAPENZI
KIITIKIO
NAMI NATAKA,NATAKA(MAPENZI)
NAMINIMPATE NIMPATE(MUPENZI)
NAMI ANIPE ANIPE(MAPENZI)
NAMI NIMPE, NIMPE(MAPENZI)
TUPEANE TUPEANE(MAPENZI)
NISINYIMWE,NISINYIMWE(MAPENZI)
2
HIYO BAHATI YA KUPEWA
MAPENZI
NINASEMA KWA DHATI
MAPENZI
NIKIPEWA ,NITATOA
MAPENZI
NITATOA KWA WAKATI
MAPENZI
NAMI NIPEWE,NISINYIMWE
MAPENZI
NISINYIMWE NISINYIMWE
MAPENZI
NISINYIMWE NISINYIMWE
MAPENZI
BRIDGE
NISINYIMWE NISINYIMWE(MAPENZI)
NISINYIMWE NISINYIMWE(MAPENZI)
NISINYIMWE NISINYIMWE(MAPENZI)
NISINYIMWE,NISINYIMWE(MAPENZI)
NISINYIMWE,NISINYIMWE(MAPENZI) X2
LIMEANDIKWA JANUARY2013/22
BY ELIA KIM MWALUKALI
No comments:
Post a Comment