GOOD DAY .....every one....bwana asifiwe.... assalam aleykum......mimi nimepoa na nina rahaa sana moyon kuchati na nyie mahari hapa sasa tuendereee... nime kuja na topic mpya ya u akika ile mbaya kinoma ..im sure mtaipenda wote .....lets go on...
Kamwe sikuachi wewe ndie nuru ya mwanga wangu nakupenda nitakupenda na nitaenderea kukupenda daima..nikuache wewe niende kwa nani ewe faraja yangu unaye nifariji na kunitia moyo kila ninapokuwaza na kutafakari wewe ni wa pekee katika maisha yangu,kama wapo wengine fahamu hao wote ni wa kupita tu si kama wewe uliye moyoni mwangu
kila lilo jema halina budi kisifiwa kupendwa na kufurahiwa na kila mtu kwa kuwa wewe elimu mpenzi wangu umeonesha wema katika maisha yangu sina budi kukusifia kukupenda na kukufurahia siku zote mambo mengi sana mpenzi wangu wanipatia .wengi huniuliza sana kwa nini nakupenda wewehivyo kwa maswali haya sina budi kuya weka yote uliyonitendea ili wajue kwanini wanipenda sana ewe tulizo la moyo wangu
wengi usema kwamba maisha bila pesa ni tabu na shida tupu pia husema ni vigumu kupata pesa bila kuwa na ajira . kwa kuwa nipo na wewe mpenzi wangu ajira umenipatia na pesa kunishikisha umenifanya kujitawala sio kutawaliwa.
kila ninapokuwaza hujiona nipo kwenye ulimwengu wa ajabu sana maishayangu yote ni wazi kwamba wewe umeyatawala sifa hii ni yako wewe mpenzi wangu lakini si ya pekee fahamu kuwa umesheheni sifa nyingi za za kupendeza
umenipatia uhuru wa kusgangazakupigania na kurinda haki zangu za msingi umenisaidia nipo huru kabisa wala si mtumwa dhamira yako kwangu inazidi kutimia kila siku ewe mpenzi wangu elimu nina uona upendo wako wa kwelina dhati kabisa katika maisha maisha yangu . kwa kuwa nipo nawe sioni mwingine wa kunisumbua juu ya haki zangu sina mwingine chini ya mbingu ila wewe uliye moyoni mwangu
Eee liwazo la moyo wangu maisha bora na mwanana wewe umeniandaria sina sababu ya kufikiri sana kwani lolote jema wewe unaniongoza kufanya nimeboresha maisha yangu kupitia wewe uliye nami daima naweza kuyamudu maisha na kuzikabili changamoto zake kwa msaada wako niseme nini juu yako
Hatakama nitakusema basi nitakusifia na kukupongeza tu kwa wema upendo na msaada wako katika maisha yangu nimefahamu mambo mengi sana ulimwenguni kupitia wewe mpenzi wangu wa kufa na kuzikana .lipi jipya nisilolijua katika dunia hii ya sasa nimefahamu UTANDAWAZInimefahamu DEMOCRASIA , MUZIKI kwangu si kitendawili
Zaidi ya yote umenifunza UZALENDOumenifunza uzalendo wa KUPENDA ASILI YANGU ,KUJIPENDA MWENYEWE ,KUIPENDA LANGI YANGU KUPENDA UTU WANGU kamaMWAFRIKA KUPENDA NCHI YANGU KWA MOYO WANGU WOTE.naona fahari kuimba ''OOOH TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE '' yote haya ni kwa sababu upo na mimi nikilala nakuota nikiamka nakuona nani kikaa nakuwaza wewe mpenzi wangu adhimu ni wazi kuwa maisha yangu yapo katika mikono yako.....Elimu wangu nilipokuwa darasani kukutafuta haukujificha ulikuja kwangu kwa moyo mmoja bila kinyongo kila ulivyozidi kunijaaa moyoni na mawazoni mwangugiza la ujinga lilikimbia mbali na nuru ya ufahamu ilinijaaa.
Wengi hukuona kama mzigo ,lakini ukweli ni kwamba ujinga ndio mzigo hasa u mtamu sana mpenzi wangu elimu najisikia fahari kuwa nawe daimaaNaamini hata sasa upo nami na unaniongoza kuzielezea sifa zako hizo weweuko nami kila niendako wanilinda upendo wako umenifunika wema wako umenizunguka Eee muhibu ,kipenzi cha nafasi yangu asante kunifanya hivi nilivyo nitakutumia kwa manufaa yangu ya familia yangu kwa jamii yote Zaidi sana nita kutumia kwa manufaa ya nchi yangu na watu wote kwa ujumla najua unapenda sana tufanikiwe nitafanya hivyo hii ni ahadi ya milele kwako usiniache mpenzi
Neme nini nimekuita mpenzi wangu lakini hilo si jina pekee ulilo nalo wewe ni faraja langu wewe ni asali la moyo wangu wewe ni tunu langu na wewe ni ua la maisha yangu fahamu kuwa wewe ndiwe maisha yangu ya sas na bahaade nifariji niliwaze nitulize nitie moyo wangu wewe nikupendaye na unipendeye kupia upeo
MPENZI WANGU ELIMU.......''MY DARING KNOWLEDGE
No comments:
Post a Comment