NILISHINDWA KUKULINDA
1
NILISHINDWA KUKULINDA
WAKAJA WALOKUPENDA
TENA WAKAKUTAKA
NA KUKUKUPKATA
ULIPOSINZIA,WAKAKUTANIA
SASA UNALIA WAMEKUACHIA
2
NILIKUACHA HURU
POPOTE UNAZURU
KUMBE NAFANYAKOSA
HIVYO UKANISUSA
SASA UMEACHWA
NATENA UMETUPWA
RUDI NIMEKUSAMEHE
TENA USIRUDIE
KIITIKIO
NILISHINDWA KUKULINDA
MAKOSA YAPO KWANGU
WAKAJA WALOKUPENDA
NAO WAKAKUTENDA
MAKOSA YAPO KWANGU
NILISHINDWA KUKLINDA
NILISHINDWA KUKULINDA
NILISHINDWA KUKULINDA
KIBWAGIZO
NILISHINDWA KUKULINDA(KUKULINDA)
NILISHINDWA KUKULINDA(KUKULINDA)
NILISHINDWA KUKULINDA(KUKULINDA)
NILISHINDWA KUKULINDA(KUKULINDA)
NILISHINDWA KUKULINDA(KUKULINDA) X2
liliandikwa october 2012
by elia kim mwalukali
at makumira universty Arusha
No comments:
Post a Comment