Thursday, January 24, 2013

ASANTE MUNGU......KUMUUMBA MAMA MWEMA TANZANIA


                                           ASANTE MUNGU,

ASANTE MUNGU KUMUUMBA,MAMA MWEMA TNZANIA
(ASANTE MUNGU KUMUUMBA MAMAMWEMA TANZANIA)

UMEMPA MAZIWA  HUBA WATU WANYAMA WAVUTIA
(UMEMPA MAZIWA HUBA WATU WANYAMA WAVUTIA)

MILIMA BONDE YA ASILI, MITO MAZIWA YA ASALI
(MILIMA BONDE YA ASILI,MITO MAZIWA YA ASILI)

WAJIBU WETU KWAKO MAMA KUKUTUNZA NENEPA VEMA
(WAJIBU WETU KWAKO MAMA KUKUTUNZA NENEPA VEMA)


KIITIKIO
ASANTE MUNGU ,ASANTE YESU,KUMUUMBA TANZANIA,
MPE BARAKA ,MPE BARAKA,MAMA YANGU TANZANIAX6


TWAKUPENDA TANZANIA,TWAKUPENDA MAMA WEWE,
TWAKUPENDA TANZANIA,TWAKUPENDA MAMA WEWE



2
AMANII UMOJA UPENDO,MSHIKAMANO
(AMANI UMOJA ,UPENDO MSHIKAMANO)

UDUMU WAKOMUUNGANO,MAMA YANGU TANZANIA
(UDUMU WAKO MUUNGANO MAMA YANGU TANZANIA)

MAMA YETU TANZANIA TUONESHE YAKO MAHABA
(MAMA YETU TANZNIA TUONESHE YAKO MAHABA)

TUKUMBATIE BUSU MWANANA TABASAMU LAKO PANA
(TUKUMBATIE BUSU MWANANA, TABASAMU LAKO PANA)

RUDIA KII TIKIO


3
TWAKUPENDA TWAKUPENDA TWAKUPENDA TANZANIA
(TWAKUPENDA TWAKUPENDA TWAKUPENDA TANZANIA)

BARIKIWA BARIKIWA BARIKIWA MAMA WEWE
(BARIKIWA BARIKIWA  BARIKIWA MAMA WEWE)

MATATIZO YALIYOPO BWANA YESU TUSAIDIE
(MATIZO YALIYOPO BWANA YESU TUSAHIDIE)

MAGOJWA UMASIKINI BWANA YESU TUSAHIDIE
(MAGONJWA UMASKINI BWANA YESU TUSAHIDIE)



LILIANDIKWA MWAKA 2010
BY ELIA KIM MWALUKALI
MUNGU IBARIKI TANZANIA



No comments:

Post a Comment