MUNGU AKUPE NINI?
I
NILIKUA NAPITA,NAPITA SHAMBANI,
NIMEJAWA NA FURAHA,NAFURAHA YA MOYONI,
SINA BAYA LAMBELENI,WAKAJITOKA WANYANGANYI,
WAKANIPIGA MWILINI,NIKAPIGA KELELENI,
NISAHIDIENI JAMENI,NISAIDIENI JAMENI,
KWANI NIPO KIFONI, NIMEFUNGWA MATESONI,
NINAOMBA MSAHADA,NISAIDIENI JAMENI,
KWANI NIPO KIFONI,NISAIDIENI JAMENI.
WOTE;
MUNGU AKUPE NINI,EWEKIJANA WA KIKE,
CHOCHOTE UNACHOKITAKA,MWENYEZI MUNGU AKUPE,
LAKINI MIMI NAMWOMBA AKUPATE MWANAMUME,
ANAYEJUA MAPENZI AKUPAKE,AKUPAKATE.
2
AKAJITOKA MWANADADA, AKANIPA MSAHADA,
AKANIKANDA VIDONDA,KANIONDOLIA SHIDA,
KANILISHA NAMATUNDA,KANILAZA KWA KITANDA,
ULINZI WAKE SALAMA,NI MALEZI YAKE MAMA,
KAMA KITOTO KICHANGA,NILIJISIKIA KUDEKA,
ULINZI WAKE SALAMA,NIMALEZI YAKE MAMA,
KAMA KITOTO KICHANGA,NILIJISIKIA KUDEKA,
ULINZI WAKE SALAMA ,NI MALEZI YAKE MAMA.
KIBWAGIZO
MWENYEZI MUNGU AKUPE,AKUPATE KININI,
MWENYEZI MUNGU AKUPE,CHOCHOTE UNACHOPENDA,
MWENYEZI MUNGU AKUPE,AKUPATE MWANAMUME,
MWENYEZI MUNGU AKUPE,MPOLE KAMA MIMI,
MWENYEZI MUNGU AKUPE,NI NANA HUYO JAMANI,
MWENYEZI MUNGU AKUPE,NI MIMI WAKO MUME,
NI MIMI WAKO MUME. NI MIMI WAKO MUME,
NI MIMI WAKO MUME,NI MIMI WAKO MUME
LILIANDIKWA MWEZI OCTOBER 2012
BY ELIA KIM MWALUKALI
GOD BLESS YOU