Thursday, December 15, 2011

HUDUMA KWA WALEMAVU ZIPEWE KIPAUMBELE.....................................

 WALEMAVU BADO WANAENDEREA KUATHIRIKA NA UMASIKINI, UKOSEFU WA AJIRA NA UBAGUZI KATIKA ELIMU NA HUDUMA ZA AFYA

 LICHA YA SERIKALI MBALI MBALI DUNIANI KUTETEA NA  KUWEKA SERA ZAKULINDA HAKI ZAO

 TUPIGE VITA UBAGUZI TUTOE HAKI ZA BINADAMU NA UHURU KWA WATU  WENYE ULEMAVU

 BADO WALEMAVU WANAKABILIWA NA UKOSEFU WA AJIRA KUYUMBA KWA UCHUMI  UHABA WA NISHATI MABADIRIKO YA HALI YA HEWA NA KUPANDA  KWA BEI YA CHAKULA

 WATU WENYE ULEMAVU NDIO WANAOHUMIA ZAIDI NA MATATIZO HAYA HIVYO NI WAJIBU WETU KUWARINDA

KILA MMOJA ANA WAJIBU MKUBWA WA  KUTAMBUA NA KUTHAMINI UWEZO MKUBWA WALIONAO WALEMAVU KATIKA NYANJA MBALIMBALI

KUNA WATU WENGI WENYE ULEMAVU AMBAO WANAONESHA UJASIRI  NA UHODARI  MKUBWA SAWA NAWATU WENGINE RICHA YA ULEMAVU WAO

Tuesday, November 29, 2011

!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...........AMENIPENDA LAKINI SIMPENDI..........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

MPENDE AKUPENDAE NA ASIEKUPENDA ACHANA NAE

MAPENZI NI MAZURI KAMA UTAMPATAYULE  UMPENDAE NAYE AKAKUPENDA  LAKINI NJE YA HAPO NI MAUMIVU MAKUBWA SANA
USILAZIMISHE  KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI JAPO YEYE ANAONESHA KUKUPENDA

LAKINI ITAKUWA NI NGUMU SANA KWAKO KUONESHA MAPENZI NAE AKAFURAHI KWA KUWA WEWE HAUJAMPENDA

UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUKAA NAE CHINI UKAMUELEZA  UKWELI KWAMBA HAUJAMPENDA ILI ASIJIGAMBE MOYONI KWAMBA IPO SIKU UTAMPENDA

MUELEZE UKWELI ILI NAYE AELEWE  MSIMAMO WAKO WA KUMPA NAFASI WA KUTAFUTA MWINGINE AMBAYE UTAMPENDA

                            MPE NAFASI
MUELEZE UKWELI
USIFICHE MOYONI
USILAZIMISHE KITU KISICHO WEZEKANA

.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kila mla cha mwenzake na chake uliwa...............................

WANAWAKE WENGI WAMEKUWA NA TAMAA YA FEDHA  TU
ASILIMIA KUBWA YA WANAWAKE WAKITONGOZWA KITU WANACHOKIFANYA NI KUMGEUZA MWAUME KUWA KITENGA UCHUMI
JAPO WATU USEMA PASIPO NA FEDHA HAKUNA MAPENZI .LAKINI UKWELI NIKWAMBA WANAWAKE WENGI WAMEZIDI NA NDIO UFANYIWA VITENDO VYA KIHUUNI/UKATILI KWA AJILI YA TAMAA YA FEDHA...................
                          IKUMBUKWE KWAMBA  KILAMLA CHA     MWENZIE NA CHAKE ULIWA
                 

Wednesday, November 16, 2011

Mbeya Yetu: BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya...

Mbeya Yetu: BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya...: majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili ki........

                       MY FATHER    ABELI MWALUKALI
''INANIUMA SANA TENA SANA  KWA SABABU BABA YANGU MZAZI NAE ALIJERUHIWA KATIKA MAPAMBANO HAYO

 INGAWA BABA YANGU SIO MMOJA WA WAMACHINGA HAO  ...ALIKUA ANAPITAPITA TU NDIO GHAFRA KWA BAHATI MBAYA RISASI YA MOTO IKAPITA KWENYE MKONO WAKE.....

LAKINI NI JAMBO LA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA SABABU BABA YANGU YUPO HAI

                               ASANTE SANA MWENYENZI MUNGU KWA SABABU BABA YANGU YUPO HAI

                                NAKUSHUKURU SANA MWENYEZI MUNGU KWASABABU UNAMRINDA NA KUMPIGANIA

                              EWE MOLA WA ABRAHAM...AIZAK...JACOB...MUSA....ISSA[JESUS/YESU]..MUNGU WA ELIA ....NAOMBA UILINDE NYUMBA YETU IEPUKANE NA MAJANGA HAYO....

                              MWENYEZI MUNGU WEWE NI MWENYE NGUVU DAIMA...MAANA UNATAMBUA KUWA WATOTO BILA BABA WALA MAMA DAIMA WANAPATWA NA MATESO MENGI...HIVYO MWENYEZ MUNGU WAPE MAISHA MAREFU WAZAZI WANGU
                    
   UWAEPUSHE NA MATESO YOTE YATAKAYO WAKABILI,WAONGOZE KATIKA NJIA YA UZIMA DAIMA,
                      
    UWATANGULIE KATIKA MAMBO YOTE MAANA WEWE NDIE MWENYE NGUVU ,UWEZO,UTUKUFU NA UPENDO ZAIDI

                       MWENYEZI MUNGU SIMAMA UPANDE WAO DAIMA  UWENGUZO YAO ...UWATAZAME KWA MACHO YAKO YA HURUMA

            MWENYEZI MUNGU AGIZA MALAIKA WAKO WAWALINDE WATIWENGUVU DAIMA,
                EHEEE BABA MUNGU  WAEPUSHE NA MIKOSI MBALI MBALI YA KIDUNIA NAJUA KUWA DAIMA MWOVU HAPENDI KUONA WATU WAKO WANAPUMUA NA KUISHI KWA AMANI DUNIANI...........
                                        MUNGU UWENASI DAIMA
                               
                             KWA HAYA MACHACHE BABA NAKUOMBA NA KUSEMA AMEN..''.
                                                        23.NOVEMBER.2011
                                   ELIA ABELIA
                                  .......................

Monday, October 31, 2011

'' ..........HIVI KWANINI MUZIKI NI KITU CHA GHARAMA...........??????!!!!!!! ''

UNAWEZA SEMA MIZIKI NI KAZI, MUZIKI NI KIPAWA, MUZIKI NI MAJARIWA, NI UWEZO WA KUIMBA UKIAMBATANA NA KUCHEZA,SAUTI TAMU YA KUMTOA NYOKA PANGONI [YA MVUTO WA ALA NA VIONJO MBALIMBALI ] YOTE HAYO MIMI SIKATAI ILA MADA YA LEO NI ....KWANINI MUZIKI NI GHARAMA


  MOSI....UNAPOANZA MUZIKI HASA HUU WA KIDUNIA  MAALUMU KAMA BONGO FLEVA JARIBU KUFIKIRIA KUWA LAZIMA UWE NA MTAJI[CAPITAL] MAANA HATA KWENDA STUDIO[UNDER GROUND ,PROFFESIAL,AND TALENTIVE STUDIO]INAHITAJI PESA ANY WAY INAWEZA IKAWA STUDIO YA NDUGU YAKO[KAKA AU DADA]YA RAFIKI JIRAN AU YEYOTE YULE LAKINI YOTE CHIN JARIBU KUFIKIRIA UMUHIMU WA KUWA NA MTAJI.


PILI .....MUZIKI SIO MCHEZO WA KITOTO ,MUZIKI SIO KAZI YA KIUPUMBAVU..HII NI KAZI NGUMU HASA  LAKINI YOTE CHINI JUU POLE POLE NDIO MWENDO.. MWENYEWE UTAFURAHIA TARATIBU NA UTAPENDA MAFANIKIO YA KAZI HIYO UNAYO IFANYA.TAMBUA KUWA KIPAJI HIKI KINAHITAJI PESA  ZA KUTOSHA  KUKUTOA WEWE NA KUKUFANYA UWE JUU...JARIBU KUFUATILIA MAMBO YAKO KWENYE VYOMBO VYA HABARI HASA RADIO,[UKIPELEKA CD ZAKO]KWENYE TV NA COMPUTER HAS UKIPELEKA PICHA ZAKO KOTE HUKO ITAKUGHARIMU TU ILA USIFE MOYO.....MFANO RADIO ZINGINE ZINATAKA PESA KIDOGO KUKUWEKA TOP FULANI WANATAKA POSHO .TV NA COMPUTER NAKO NI GHARAMA KUUZAA WIMBO WAKO INTERNET NAKO YATAKA PESA HIVYO JIANDAE KIPESA .....

     WAPO WALIOBAHATIKA KUPATA WAFADHILI, MPAKA WAKAWA JUU KIMUZIKIWAFADHILI NI MUHIMU SANAMAANA WATASIMAMIA KAZI ZAKO MPAKA UNAFANIKIWA KAMA WEWE NI MSAANIMCHANGA  NA HAUNA CAPITAR  NA UKAPATA WAFADHILI TAFADHARI USIWAZARAU YAKUPASA SASA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU

         WAPENZI KWA LEO SINA MENGI YA KUWANONGONEZA NAONA MUDA WANGU NI MCHACHE SANA ....ILA NIKIPATA WAZO LOLOTE  NAAIDI KUWA SINTA WAANGUSHA.................
                            WASSALAAMU.......

.................. JE KIPAJI PEKEE NI MUZIKI ......?????????

 KAMA NIJUAVYO MUZIKI KWA KIFUPI  NI UIMBAJI UNAOENDANA  NA ALA YAANI NYIMBO ZINAZOENDANA NA VIFAAA INSTRUMENT AU ZANA MBALIMBALI ZINAZOUFANYA MUZIKI UWE MTAMU WENYE VIONJO.
       VIFAAA AU DHANA ZINAZOLETA VIONJO NI KAMA MAGITAA ,VINANDA ,NGOMA,SAXAPHONE NA VINGINEVYOVINGI TU MBALI NA  HAPO MUZIKI UNAMUHITAJI MTU YAANI MUIMBAJI MWENYE SAUTI ISIYOTETEREKA [YAWEZAKUWA YA 1,2,3,4,.........5,6.7.8.9.........IRIMRADI IWE NA MVUTO KWA WASIKILIZAJI.]
       TURUDI KWENYE SWALI LETU HAPO JUU... SIKWELI KUSEMA KUWA MUZIKI PEKEE NI KIPAJI VIPAJI VIPO VINGI SANA MBALI NA UIMBAJI KUNA  UCHORAJI,UCHEKESHAJI,[MAIGIZO] UPISHI,UKURIMA,BIASHARA,UVUVI,NA KADHARIKA, VYOTEHIVYO NI VIPAJI TULIVYOJARIWA  NA MWENYEZI MUNGU.
       MUZIKI NI KIPENGERE KIMOJAWAPO CHA SANAA PIA NI KAZI YENYE UMUHIMU SANA  MAANA INA LENGO LA KUELIMISHA ,KUBURUDISHA,KUSISIMUA, KUKOSOA,NA KUKUZA LUGHA,MBALI NA HAPO NI KAZI YENYE KUITAJI SAUTI PAMOJA NA MIRINDIMO MBALIMBALI....INA FAIDA SANA KWA SABABUNI KAZIINAYOLETA KIPATO KWA MSAANI NI KAZI YENYE THAMANI SANA INAYO MFANYA MUHUSIKA  AKAJULIKANA,AKAHESHIMIKA,  NAKUPENDWAKATIKA JAMII...
     ..........  HIVYO SISI WATANZANIA TUMEJARIWA VIPAJI VINGI SANA  SIO TU MUZIKI PEKEE NA TUVITUMIE KWA MANUFAA YETU SOTE NA TAIFA LETU.............

Friday, October 28, 2011

NAMWAGA TANOKWA WASHIKAJI WANGU MWANA FA ...NA MEMBER WENGINE KAMA TID [TOP IN DAR]KALA PINA NA KEISHA ...BIG UP MA MEN MUME DONE GOOD JOB..........

 Mwana fa msaani wakizazi kipya na wenzake keisha wanaaounda umoja uliochini ya mwamvuli uitwao Tanzania fleva unit [tfu]walipiga hatua kubwa dhiidi ya mapambano ya maharamia  wa kazi zao baada ya kule kulalamika kwao kusikokuwa na hukomo juu ya madai ya dhuruma dhiidi ya jasho lao  hatimae safari hii wameibuka kivingine wametoa mapendekezo kadhaa wa kadhaa wanayo amini kuwa yakiungwa mikono  na mamlaka inayo husika tatizo la uharamia litapungua sana nchini..
          kama mapendekezo yao yatazingatiwa serikali itavuna fedhab nyingi kupitia kodi itakayo kusanywa katika mauzo ya kazi zao,kinyume na hali iliyopo sasa a mbapo mauzo ya kazinyingiza wasaaninchini hayainufaaishi serikali kwasababu ni feki na wauzaji wake sio rasimi
          NIWAZO LIPI
     Wamepania kupeleka mapendekezo ya kuitaka serikali iwasilishe  mswaada bungeni utakao walazimisha wafanya biashara kuuza cd ,vcd ,dvd na kazi nyingine za kisaani ambazo zina nembo maalumu  ya tra [mamlaka ya mapato tanzania] .kupitia mpango huo mwana faa na wenzake wanaamini kuwa walaji wa kazi zao za kisaani watapata nafasi ya kutambua kirahisi kazi halisi zitakazo kuwa na nembo ya TRA dhiidi ya feki ambazo hazitakuwa na nembo hiyo..pia polisi na vyombo vingine vya vya kusimamia utekelezajiwa sheria halali za nchi watapata unaafuu wa kuwanasa wauzaji wa kazi feki na kuwapeleka mbele ya mkono wa sheria
                faida nyingine aliyoitaja mwana fa,kuwa jambo hili litaongezea taifa mapato kwani bada ya hapo hawatakuwa wakiibiwa sana kama zamani faida zitapatikana ikiwaserikali itatekeleza mapendekezo yao bila shaka kupitiawizara za viwanda  na biashara na habari utamaduni ,vijana na michezo....binafs ninawapongeza wakina mwana fa na pia kuwaunga mkono katika kubuni utaratibu mzuri  kama huo sasa ni kipindi cha mamlaka husika kushirikiana na TRA katika kubuni utaratibu mzuri wa kutekeleza haraka mapendekezo yaliyoenda shule  ya mwana fa na wenzake tena bila kusubiri ya pelekwe kwenye mamlaka  ofisini
    
        Wanaoshikilia dhamaana walizopewa na taifa  ktk kushughurikia haki za wasaani wawe wa kwanza kuwaita wakina mwana fa na kusikiliza hoja zao kuanzia AtoZ hawana sabab za kuchelewa kwani kila walichozungumza kuhusu uharamia kina fahamika  mifano ni mingi na tena ipo wazi sana  ....mwanzoni mwa mwaka jana maofisa wa chama cha haki miliki tanzania[cosota]kwakushirikiana na wenzao kutoka chama cha waandaaji filamu tz walitekeleza cd bandia5,200na mikanda bandia ya video 2,600
                         
   Wahusika wa wizi wa kazi hizo wananufaika na wasaani wanaishia kufa njaa na kubaki na umaharufu mkubwa wa majina yao ..kama TRA itatumika   serikali itaingiza mapato makubwa na wakati huo huo wasaani watanufaika kwa sababu kila kitu kitakuwa rasim sio kama ilivyo hivi sasa ...kama ungelipia kodi ya ongezeko la dhamani[VAT].  maaana mzigo huo mmoja uliowai kukamatwa  na kosota na watu wa filamu  ungeingiza serikali asilimia 18% ya thamani ya shilingi milion 5.94
                  Huo ni mfano wa namna ambavyo serikali imekuwa ikipoteza fedha nyingi kutokana na kodi isiyokusanywak kupitia mauzo ya kazi za wasaani zinazorudufiwa kinyume cha sheria ..sasa cosota iunge mkono wazo la akina mwana fa na kulipigia chapuo serikalini ili atimaye kupunguza uharamia wa kazi za wasaani kwa kufanya hivyo

''MUZIKI WA ASILI USISAHAAULIWE NI UTAMADUNI WETU''

Muziki  ni ala .....lakini kwa kamusi sanifu ya kiswahili muziki umeelezwa kama mpangilio wa ala na uimbaji unaoleta adhari fulani kwa kiumbe hii ina maana kwamba kama msaani wa muziki hapangilii ala zake na kuimba kwa ustadi basi anachofanya msaani huyo sio muziki bali ni kelele za kawaida tu.
   Muziki ni saana kama zilivyo sanaa nyingine hivyo hatuna budi kujua sanaa ninini ?hasa sanaa imeelezwa kama ufundi,ufundi wa kuwakilisha mawazo yaliyomo katika fikla za binadamu ili ya dhiirike na kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa walengwa
    Hivyo sanaa inakubali kuwa na malengomakuu ambayo ni

                  1.KUELIMISHA JAMII
                  2. KUBURUDISHA
                  3, NA HATA KUELEKEZA JAMII
         Sanaa pia ni utambulisho wa jamii husika hata kama haujawai kuishi na jamii hiyo....itakuwa kosa kubwa kama tutaisahau sekta hii ya muziki katika jamii yetu
                Muziki una historia ndefu sana tena isiyo yumba katika ustawi wa jamiiya binadamu.muziki pia umezisambaratisha ndoa na familia nyingi,muziki umewatoa watu machozi ya furaha na huzuni...Wanasayansi bado wana kesha  katika maabara kubwa duniani kutafiti ni kwa nini muziki una adhari kubwa katik ubongo wa binadamu......muziki umetumiwa kama dawa kwa wagonjwa wa wa akili na walio na msongo wa mawazo, lakini kuna mkanganyiko mkubwa baini ya muziki wa asili na na ule wenye vionjo vya usasa

            Basi nini tofauti kati ya muziki wa asili na ule uliochanganyika na usasa
       Muziki huu wenye vionjo vyaasili ni ule wenye usasa lakini una vionjo vya asili.....unaposimama na kuzungumzia muziki wa asili basi ni vema ukatafakari kwa makini ni muziki upi ambao unachukua jukumu la kutambulisha utamaduni na asili ya mtanzania ...mara nyingi wasaani wa muziki wa asili wamekuwa wakifanya  kazi  zao nchi za nje wakiutangaza utamaduni wetu tofauti na hapa nyumbani.Hili limekwisha kuwa tatizo la watanzania wenyewe  kushindwa kuuenzi muziki huu hivyo wasaani wengi wamejikuta wakifuta muziki huo ambao unatukuzwa na mataifa mengine ya huko nje..
  Hii huenda kuwa ndiyo sababu iliyowafanya hata waandaaji wa tuzo hapa nchini kutozingatia makundi halisi ya muziki wa asili wa asili kushirikishwa katika tuzo hizo.hata hivyo serikali ina dhamaaana ya kuendereza muziki wetu  kwa kuzingatia kutoa vipaumbele  kwa makundi ya saana ya muziki  wa asili ili kuweza kuuenzi sisi wenyewe ni aibu kubwa ikiwa sisi watanzania wenyewe hatufahamu vema muziki wa asili  na hii ni sababu tunashindwa kuhuuenzi utamaduni wetu , ni vigumu kujuwa iwapo hatuuenzi .serikali ina wajibu wa kujenga ukumbi wa kisasa kwa shughuri za sanaa  na kusimamia mikataba halali  kwa wasani ili kuweza kutoa kipaumbele  hivyo na pia  kutatua matatizo kadha ambayo yamekuwa yakiwakumba wasaani hao
        
            Pia vyombo vingi vya habari havitoi kipaumbele kwa sanaa na wasaani wa muziki wa asili hili ni tatizo pia kwani linafifisha utamaduni wetu na hata wadau mbalimbali wanashindwa kutambua vema muziki wa asili kuna haja ya kuanzisha tovuti mbali mbali ambazo zitakuwa zikitoa taharifa mbali mbali  kuhusu muziki huu na hata vipindi mbali mbali maaalumu katika television na radio mbali nchini.... kwani kuna makundi mengi na wasaani wengi wa asili kama vile saida kaloli,jhikoman, mbeya arts, na baadhi ya wasaani wanaotambulika kuwa ni waimbaji nyimbo za asili

               kuna haja kwa watanzania kubadilika ili tuupende,tuuenzi na kuheshimu vya kwetu kwani mwenda kwao si mtoro/mtumwa.....mcheza kwao hutunzwa.hipo siku tutavipoteza kabisa vya kwetu nakuwa watumwa wa mataifa mengine.......
                              
                               ASANTENI  SANA NA KWAHERI

                  .....................................................................
                     $$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$
                         %%%%%%%%%%%%%%%%%%
                            **************************
                               ^^^^^&&&&&&&&&&!!!!!!!!

Tuesday, July 19, 2011

OOOOOSH... MASIKINI ALA YA SAXAPHONE HATARINI KUTOWEKA KATIKA MUZIKIII......?

Wanamuziki  wa sasa hawataki kujifunza ala ya saxaphone  hata waliopo umri unawatupa katika fani
   saxaphone maarufu kama ala za upepo ni miongoni mwa vyombo muhimu va muziki  vilivyo hatarini kutowekan katika muziki wetu  hapa nchini kwa sasa
    Nchi nyingine kama za ulaya ala hiyo inatiliwa mkazo hadi kupendwa zaidi  bemdi cmuziki kama mlimani park na msondo ngoma ndio pekee zinazo weza kutumia ala hizo katika nyimbo na muziki wao
          baadhi ya sababu zinazofanya saxaphone kupotea
    1 matumizi ya kinanda [key board] kunako fanywa na bendi pamoja na vikundi vya muzik nchini

    2.hali ya vijana kutokuwa na moyo wa kujifunza ala hiyo
          sio hivyo tu ala nyingine kama magita hali ni mbaya sana kwani vijana wanashindwa kujifunza ala hizo
    3.utandawazi unaoenderea pamoja na matumizi ya sayansi na tecknologia  na faida zake lakini kwa upande mwingine umechangia kuua vipaji vya wanamuziki vijana katika zama hizi
     uko ulaya na marekani nchi zilizoenderea zinatumia tecknologia yao sio kwa kukuza tu ata kudumaza utamaduni wetu nchini na africa kwa ujumla baada ya kufanikiwa kuua ala za upepo nguvu sasa  zinawekezwa katikaupigaji wa magita
      serikali sasa pamoja na wanamuzik WANATAKIWA KUWA MAKINI SANA NA JAMBO HILI  KWANI WATAALAMU WANAFADHILI MIDUNDO MILINDIMO KWENYE KOMPYUTA  KWA NIA YA KUZITENGENEZA HAKI MILIKI  KATIKA MIDUNDO ''MECHANICAL RIGHT''.      

       KWA VILE HATUANDAI VIJANA WETU  KUJIFUNZA KUTUMIA ALA  HIYO ITAKUWA NGUMU KUPIGA MUZIKI WETU  KWANI ITABIDI TUNUNUE MIDUNDO NA MAPIGO KUTOKA KWAO . KIBAYA ZAIDI MIDUNDO NA MAPIGO HAYO  YATAKUWA YANAUZWA KWA BEI GHARI  NA KWA BAHATI MBAYA SANA HATUTAKUWA NA UWEZO WA KUNUNUA.
        Jukumu la matunzo haya zisiachiwe taasisi za dini tu kama ilivyo kuwa nyuma  hasa miaka ya 60 na70.Ala nyingine ni trumpent  na trombone  zimo hatarini kupote
        tatizo la saxaphone kwa kweli ni ghari yaani ni ya gharama sana katika maduka ya muzik kwa mfano bei ya saxaphone inaweza kugharimu bei ya magita matatu ya solo [leading guitor] rydhim na base  na kufanya upatikanaji wake kuwa mgumu  sana          


    Bado sisi watanzania hatujaweka malengo kuwepo kwa saxaphone katika ustawi wa muziki
Serikari inatakiwa kuliangaria sualahili kwa macho manne ilikuakikisha chombo hicho kinaenderea kuwepo katika muzic wetu badara ya kutegemia muzic wa magita matatu..  kama ilivyo katika beni za africa star,akudo impacts,extral bongo na nyinginezo.

     TUNAIOMBA SERIKARI ,WANAMUZIC, WASAANI NA WADAU WA MUZIC NCHINI KUFANYA  KILA NJIA KUKINUSURU CHOMBO HICHO NA JAMII ZAKE NA IKIWEZEKANA ITILIE MKAZO MATUMIZI  YA ALA ZA ASILI KAMA VILE   ZUMARI,FILIMBI,ZEZE,VILIMBA,NGOMA, LITUNGI  NA VINGINEVYO.....

ASANTENI.....PAMOJA DAIMA  ......

          TETEA SANAA YAKO....

          MUZIKI NI BURUDANI
          INAYO ANZIA NYUMBANI.
   *****************************

Wednesday, July 13, 2011

.........NAKERWA NA TABIA HII YA WANAMUZIKI WETU.......

Nimbo za wasaani wetu zimeenderea kuwa za aina moja
ingawa zinaimbwa na wasaani tofauti wakati mwingine unaona wasaani ni wawili au zaidi lakini aina hiyo ya utunzi hufanana utunzi ufanana kwa kiasi kikubwa  jambo ambalo binafsi linanikera sana.......

Ni hapo ninapoanza kuoji uelewa  na vipaji  vya wasaani wanaoshindwa kufanya kazi nyingine zaidi ya sanaa  sasa nyimbo ni za aina moja sasa utata unakuja zinapokuwa ni za mapenzi  ni jambo baya kupita kiasi  maana wakati mwingine mashairi ni yaleyalr  ila wanacho fanya ni kuyapindua juu chini au kulia na kushoto

hHili ni kushangaza  kama sio kuhuzunisha  lazima wasaani wenyewe mjitambue  kuwa nyie ni nani na mnafanya nini  na sanaa kwa ajili ya nani na nini  huu ni utumbo na unatakiwa upigwe vita na wadau wote  wakiwemo wasaani wenyewe wanaofanya kazi kwa kuangalia  na kuyabadirisha ili tungo hizo zionekane ni tofauti

Msaani  kama hana uwezo wa kuandika mashairi yake  ni vema akaachana nayo ili ajifunze kama mungu amempa kipaji  na hafanyi mzaa kwa kuuza sura na nyimbo mbaya au nzuri lakini imewai tungwa  na wasaani wenzao waliohumiza vichwa  kwa ajiri ya kazi hiyo

sanaa ni kazi kweli  lakini sio kwa wasaani wetu  kuona mtindo mzuri ni kubadirisha aina ya mashairi ya wenzao  na kuimba wao  tena jambo linalo fanya tungo zao kufanana kiasi kikubwa

Unafikia wakati  mtu anashindwa kutofautisha wasanii husika  kutokana na kero hiyo ya kuchakachuriana nyimbo zao wao kwa wao  kwa kuigana kiajabu ajabu  bila haya kwa wahusika


vichwa si navyo  na mnajiita kweli wasaani , sasa huo mtindo wa kuigana nyimbo zenu  kama kasuku una tokea wapi....please   and please tuache wizi mtupuuuuuu... kama sanaa imekushindeni tafuta kazi nyingine itakayo kuretea kipato na sio kufakamia vya wenzenu................................

                           tumia jasho lako.......

Tuesday, July 12, 2011

WANYAKYUSA..... HURITHI WAKE ZA NDUGU ZAO WANAPO FARIKI......

wanyakyusa ni kabila linalopatikana mkoani mbeya
wanaume ulithi wake pale inapotokea mume amefariki
mila hii ipo kwa wapogoro, wahee na makabila mengine
kwa sasa mila hii imepungua kutokana na presha ya watetezi
wa haki za binadamu na kutolewa kwa elimu inayoelezea ubaya
wa jambo ilo. zamani mila hii ilipew kipaumbele sana ndugu
waririthi mali nyingine za marehemu kama vile mashamba na
walikuwa wakipiga mahesabu na wake zao....
 
wakati wa msiba huwa kama wanaanzisha makazi kwa kwenda na vitu vya nyumbani  kama
vile mswaki mataulo na vinginevyo.....walifanya hivyo eti kwa kisingizio kuwa marehemu aliacha watoto wadogo wa kuwatunza

wapo ndugu walio lemazwa na fikra hizo  ndugu yao anapoumwa upiga mahesabu ndugu yao atakapo kufa warithi chochote kizuri ..... mwanamke akikataa kurithiwa na mume mpya utengwa mbali sana.......... lakini
kwa vile sasa kuna utandawazi na sheria kari watu ao wameanza kupunguza mila hizo

            ''  TUNAOMBA CHONDE CHONDE SERIKALI
HIINGILIE KATI HIZI NI MILA POTO
FU  KAMA TUTAENDEREHA KUKUMBATIA MILA HIZO ULE UGONJWA WA UKIMWI KAMWE HAUTAPUNGUA''
     ASANTENI.........

JINI AITWAYE ''MAIMUNA'' Saqiwtwaye

jini aitwaye maimuna saqitwi  huyu ni shetani mwovu  na umtia mwanadamu athari nyingi sana ...jini huyu aitwaye saqitwi l-jini akimnasa binadamu humsababishia  mikosi  maradhi  kuchukiwa au kuchukia.....

         jinsi anavyo mletea mwanadamu mabalaa
       1.kuumia kwa ajali mbaya mfano safarini,
       2.kudhulumiwa mali zako,
       3.kusingiziwa usilo litenda,
       4.kuhisiwa kuwa wewe ni mchawi,
       5 kuvamiwa na wezi au maadui zako hata kama hauna mali wan
         akuja kukutesa tu
       6.kupatwa na mikasa na askari na kufungwa tu 
       7.kukosa kila bahati
       8.kukataliwa/kukataa kuoa au kuolewa hapendwi  kutopata ba
         hati ya kuoa  kila mkienda wakataliwa
       9.wachumba wengi lakini ndoa hakuna
       10.viungo kukosa nguvu ukiwa kwenye masomo ,
       
          
                BAADHI YA MAGONJWA YA JINI MAIMUNA

         1kuchezwa chezwa na nyama kwenye mwili
         2.ganzi mwilini
         3kukaukwa na koo na kuchomwa kooni kama moto
         4kiungulia na kutapika mapovu
         5kuumwa kichwa na kuisi kitu kinatembea utosini
         6.kupatwa na ganzi kichwani ,laki inahamahama  
             na kwenda sehemu nyingine
          7.kuumwa tofauti tofauti mwilini mfano ugonjwa ukiwa k
             wenye miguu unaenda sehemu nyingine mfano mgongoni
          8 kushituka kujirusha kughara ghara ovyo usingizini na
             kucheka cheka ovyo .
          9. kusonya kila wakati usingizini na kutukana tukana
          10.kupoteza isia zote mwilini asa hisia za tendo la
              ndoa
          11.kuzaa watoto wabovu hata kufa kila mtoto atakaye zal
              iwa.
          12.kuzaa watoto wenye ulemavu
          13. mimba uweza kupitiliza miezi kumi na mbili na m    
                  toto atakaye zaliwa ufa
                
   
         
                    ....ASANTE NI SANA........
                       ''naomba toa maoni yako ili kuongeza mawazo yako''

Tuesday, June 21, 2011

OOOSH........MPENZI WANGU ELIMU [OOOSH MY LOVE KNOWLEDGE]

 GOOD DAY .....every one....bwana asifiwe.... assalam aleykum......mimi nimepoa na nina rahaa sana moyon kuchati na nyie mahari hapa sasa tuendereee... nime kuja na topic mpya ya u akika ile mbaya kinoma ..im sure mtaipenda wote .....lets go on...

    Kamwe sikuachi wewe ndie nuru ya mwanga wangu nakupenda nitakupenda na nitaenderea kukupenda daima..nikuache wewe niende kwa nani ewe faraja yangu unaye nifariji na kunitia moyo kila ninapokuwaza na kutafakari wewe ni wa pekee katika maisha yangu,kama wapo wengine fahamu hao wote ni wa kupita tu  si kama wewe uliye moyoni mwangu

kila lilo jema halina budi kisifiwa kupendwa na kufurahiwa na kila mtu kwa kuwa wewe elimu  mpenzi wangu umeonesha wema katika maisha yangu sina budi kukusifia kukupenda na kukufurahia siku zote mambo mengi sana mpenzi wangu wanipatia .wengi huniuliza sana kwa nini nakupenda wewehivyo kwa maswali haya sina budi kuya weka yote uliyonitendea ili wajue kwanini wanipenda sana ewe tulizo la moyo wangu
        wengi usema kwamba maisha bila pesa ni tabu na shida tupu pia husema ni vigumu kupata pesa bila kuwa na ajira . kwa kuwa nipo na wewe mpenzi wangu  ajira umenipatia na pesa kunishikisha  umenifanya  kujitawala sio kutawaliwa.
     
              kila ninapokuwaza hujiona nipo kwenye ulimwengu wa ajabu sana maishayangu yote ni wazi kwamba wewe umeyatawala sifa hii ni yako wewe mpenzi wangu lakini si ya pekee fahamu kuwa umesheheni sifa nyingi za za kupendeza

          umenipatia uhuru wa kusgangazakupigania na kurinda haki zangu za msingi  umenisaidia nipo huru kabisa wala si mtumwa  dhamira yako kwangu inazidi kutimia kila siku  ewe mpenzi wangu elimu nina uona upendo wako wa kwelina dhati kabisa  katika maisha maisha  yangu . kwa kuwa nipo nawe sioni mwingine  wa kunisumbua  juu ya haki zangu sina mwingine chini ya mbingu ila wewe uliye moyoni mwangu
            Eee liwazo la moyo wangu maisha bora na mwanana  wewe umeniandaria sina sababu ya kufikiri sana kwani lolote jema wewe unaniongoza kufanya  nimeboresha maisha yangu kupitia wewe uliye nami daima naweza kuyamudu maisha na kuzikabili changamoto zake kwa msaada wako niseme nini juu yako
              Hatakama nitakusema basi nitakusifia na kukupongeza tu kwa wema upendo na msaada wako katika maisha yangu nimefahamu mambo mengi sana ulimwenguni  kupitia wewe mpenzi wangu wa kufa na kuzikana .lipi jipya nisilolijua katika dunia hii ya sasa nimefahamu UTANDAWAZInimefahamu DEMOCRASIA ,  MUZIKI kwangu si kitendawili

     Zaidi ya yote umenifunza UZALENDOumenifunza uzalendo wa KUPENDA ASILI YANGU ,KUJIPENDA MWENYEWE ,KUIPENDA LANGI YANGU KUPENDA UTU WANGU  kamaMWAFRIKA  KUPENDA NCHI YANGU  KWA MOYO WANGU WOTE.naona fahari kuimba ''OOOH TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE '' yote haya ni kwa sababu upo na mimi  nikilala nakuota nikiamka nakuona  nani kikaa nakuwaza wewe mpenzi wangu adhimu  ni wazi kuwa maisha yangu yapo katika mikono yako.....Elimu wangu nilipokuwa darasani kukutafuta haukujificha  ulikuja kwangu kwa moyo mmoja  bila kinyongo kila ulivyozidi kunijaaa moyoni  na mawazoni  mwangugiza la ujinga  lilikimbia mbali na nuru ya ufahamu ilinijaaa.

      Wengi hukuona kama mzigo ,lakini ukweli ni kwamba ujinga ndio mzigo hasa u mtamu sana mpenzi wangu elimu  najisikia fahari kuwa nawe daimaaNaamini hata sasa upo nami na unaniongoza kuzielezea sifa zako hizo weweuko nami kila niendako wanilinda upendo wako umenifunika wema wako umenizunguka Eee muhibu ,kipenzi cha nafasi yangu asante kunifanya hivi nilivyo nitakutumia kwa manufaa yangu ya familia yangu kwa jamii yote Zaidi sana nita kutumia kwa manufaa ya nchi yangu na watu wote kwa ujumla  najua unapenda sana tufanikiwe  nitafanya hivyo hii ni ahadi  ya milele kwako usiniache mpenzi  

                  Neme nini nimekuita mpenzi wangu lakini hilo si jina pekee ulilo nalo wewe ni faraja langu wewe ni asali la moyo wangu wewe ni tunu langu  na wewe ni ua la maisha yangu fahamu kuwa wewe ndiwe maisha yangu  ya sas  na bahaade  nifariji niliwaze  nitulize nitie moyo wangu  wewe nikupendaye  na unipendeye  kupia upeo             
                                                         MPENZI WANGU   ELIMU.......''MY DARING KNOWLEDGE
                     

Friday, June 17, 2011

ALL ABOUT ELAIJA ELIA -ABELIA.......KNOW EVERY THING ABOUT ME

 GOOD FRIDAY EVERY ONE ?.....Yes im happy more than happy  cause  I wanna  need to introduce to you , and you to know more about me.....Be ready sit a eating time every body......
     When my mother concived me on her womb she could pray every day to bear ahealthfully baby, happhy fully baby and the most skill full and talent full baby.. in this regards I congraturaite my beloved mother and I say be blessed mama ...
                                    Yes my full name is ELIA ABEL KILONGO MWALUKALI,[I will be happy to smile with you when you call me this nick name  ELIABELY MWALU,]born on 1986 day of october 14,in our family of eight children Im fourth born the remaining one are my little siblings there name NAOMI,LUGHANO,ADAM AND LUSIA,.....I have three brothers there name SAMWEL,NASIBU and DANIEL.My mother name is AGINES SIMIONI KAMWELA and My father name is ABEL KILONGO MWALUKALI ,both they are working as small farmers[peasants]and some time they works small jobs/bussness so that to helps taking care of the familly and finding daily bread,(lord almighty bless them).my mother by trible is ''NDALI'' of mbozi village neary by tunduma area where there is a boarder to inter ZAMBIA nation,while my father is nyakyusa of''TUKUYU''  where there you might cross to ''MALAWI'' boarder as you want to inter in this beautifully city...Mbeya.

                             Nevertheress as you know most of africa culture on   father party clan all family member they are supposed to follow tribal language ,name culture,tradition,customs....and so.on there for in our family every thing come from father side cause father is the head of familly...[you can question what does this person mean?] here I mean even our trible language at home is nyakyusa not ndali.. our names most of them belongs from nyakyusa trible[for example my baptist name is MWASOMOLA,my young brother adam his trible name is MWAMAJUJA...even to my helder brother samwel  we just call him MWAKABELELE].

              Yes it is good,   what about my education lever..... I stated primary school at the age of 7 in  town shool in MBEYA city in my country TANZANIA  and this schools known as AZIMIO primary school since 1995 up to 2001 where I finished my primary lever.. after that Ijoined secondary school at SOWETO area called SOUTHERN HIGHLAND SECONDARY SHOOL form one up to form four from  2002up to 2005...EDUCATION IS POWER and KNOWLEDGE AS NO END ...I went high shool known as ST AGGREY HIGH SCHOOL from 2006 up to 2008 ..

                               After High school where i got divission 2 of ten I askded for Universty posts  and by god graces  several universty selected me to join there  ..Then i went in ARUSHA at one instituation called MAKUMIRA UNIVERSTY where there I was admitted to studies BACHEROL OF LAW  fom 2008 up to 2010..........but unfortunately could I not finished my degree program because of several other reasons,

        One of the main reasons is that Iparticullary I have hearing imparement [loss of hearing] under which I could be not able to understand cleary from lectures ...even though my lectures they knew about it but they could not afford  giving to me any  advice to help me re rived from this painfull problem which I acquared since my child hood[on 1998 I founded my self having severe maralia which wanted to kill me but thanks god almighty I m saved by your loving graces.. in order to save me from this maralia my doctors suggested to use some long years ago doses called quinine ond many other..it was not doctor intation to makes me me acquared hearing loss ...his intation was to helps me ,to save me and to make sure that i keep on feeel Im  ok]
                      all in all Ihave life ,after quite from studies I  asked the  head of this instituation to helps me transfer to another collage they agreed by re viewing my hearing loss and then  I went another collage called SEBASTIAN KOLOWA UNIVERSTY in lushoto tanga where they warmly wellcome me but the period which i went there studies were finished then they asked me to start studies afresh because I selected another faculty that is FACULTY OF EDUCATION instead of FACULTY OF LAW.[starting on2010 up to 2013]
                   Yes up to now I fell wellcome in SEKUCO. but the main challenges faced me is money problem Irealy  based on a particullary finacialy diffculties  all the way I STILL PUT SO MUCH HOPE TO FINiSH WELL MY FIRST DEGREE HOLDER .Even though here at sekuco there have resource room but they lacked experienced Professonal doctors of hearing  though its a collage of inclusive students[dis able and non dis able]..
                  More ever i like so much sharing ideas with diferent people' colur around the word without regarding to ethinicty,trible, nation, finacialy status,religion and many more..I have adream one day to be a mong of muzic artist because i have been make some world songs [bongo fleva as its called by most popular Tanzania men] my only hope is to get first degree holder and then to go on with studie[to go another universty around the world to studies to muzic whenever possible... because music is in my mind,heart and even the whole parts of my body...ineed to learn more so that through this education i can perform well......as i realy says im in finacialy problem if some one all over the world touched by my demand i still put so much hope to go on with studies particullary to muzic education]
                                    year there is alot to learning from me  I like playing football.base ball,swimming, running a mile,travering all over the world ,helping others listening to music ,reading to magazine newspaper, participating in particullary job and many more others
                      you may ask why im not write about my fiance....aaaaah  aaaah aaah[laughing] im not single I have my own lady let me telly you about her appearance .......she is smarts and clearn, taller not  black but realy she is brown in colour .. she loves me so much ,she ned me all the time.. she never imagine to be allone ...she is always feel in love with me even though Im far from her
                            now im tired somuch hope when i got many other time will i keep on writing my autobiograph  but today let me ended here in this road.....

THANKS AND STILL WE ARE TOGETHER....
                Dedicated to this song    
                                                           1,my love[by west life]
                                                           2.one love[by bob marley]
                                                           3.toghether as one [by lucky dube]
                                                           4.unfaithfully[by Rihana]
                                                           5.with you[by christ brown]
                                                           6.umkomboth[vyone chaka chaka]
                                                           7nipe nikupe[by Ay and Prezo]
                                                           8nitarejea[Diamond of tanzania]
                                                           9.bora nikimbie[linnha of tanzania]
                                                           10.arejandro.[lady gaga                         
                                                        

I HAVE A DREAM BY MARTIN RUTHER KING OF WASHINGTON AMERICA

Dr king addresses thousand of demostrators of the lincoln memorial during the march of
washington august1963.

Ihave adream when the architects of our republic wrote the magnificent words of the constituation and decrarationof independence they were signing a promissory note to which every america  was to fall heir .This note was the promise that allmenwould be guaranteed the un alliable rights to life liberty and the pursuit of happiness.
                               but there is something that i must say to my people who stand on the warm threshold which leads into the place of justice in the process of gaining our rightfullplace we must not be guilty of deeds let us not seek to satsfy our thirsty for freedom by drinking from the cup of bitterness and hatred we must forever  conduct our struggle  on the high planfor dignity  and justice.....again and again we must rise to the majestic  height of meeting physically force  with soul force ...and as we talk we can not walk alone  we must make apledge that we shall always march ahed  we can not turn back.....

Isay to you today my friend so even though we face the difficulties of today and tommorow I STILL HAVE ADREAM DEEP ROOTED IN THE AMERICA DREAM.I HAVE A DREAM THAT ONE DAY THIS NATION WILL LIVE UP  AND LIVE UP THE TRUE MEANING OF ITS CREED.......
      We hold this truth to be self evident that all men are created equal  I HAVE ADREAM THAT ONE DAY ON THE RED HILL OF GEORGIA son of former slave and sons of  former slave owner will be able to sit down toghether  at the table of brother hood .
                                                                   I HAVE ADREAMthat one day in the state of missippin astate sweltering with the heat of injustice,opression will be transformed into an oasis of freedom  and justice.
  Ihave adream that my four little children will one day live in anation where they will not be judged by the colour of there skin  but by the content of there character .....when we allow freedom to ring , when we let it ring from every village and every hamlets from every state and every city  we will be able to sped up that day when all Gods children black men and white  men ,jews and gentiles protestants and catholic  will be able to join hands  and sing  in the words of the negro spirual  ''free at last .free at last
                             THANKS GOD ALMIGHTY WE ARE FREE AT LAST''