MY FATHER ABELI MWALUKALI
''INANIUMA SANA TENA SANA KWA SABABU BABA YANGU MZAZI NAE ALIJERUHIWA KATIKA MAPAMBANO HAYO
INGAWA BABA YANGU SIO MMOJA WA WAMACHINGA HAO ...ALIKUA ANAPITAPITA TU NDIO GHAFRA KWA BAHATI MBAYA RISASI YA MOTO IKAPITA KWENYE MKONO WAKE.....
LAKINI NI JAMBO LA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA SABABU BABA YANGU YUPO HAI
ASANTE SANA MWENYENZI MUNGU KWA SABABU BABA YANGU YUPO HAI
NAKUSHUKURU SANA MWENYEZI MUNGU KWASABABU UNAMRINDA NA KUMPIGANIA
EWE MOLA WA ABRAHAM...AIZAK...JACOB...MUSA....ISSA[JESUS/YESU]..MUNGU WA ELIA ....NAOMBA UILINDE NYUMBA YETU IEPUKANE NA MAJANGA HAYO....
MWENYEZI MUNGU WEWE NI MWENYE NGUVU DAIMA...MAANA UNATAMBUA KUWA WATOTO BILA BABA WALA MAMA DAIMA WANAPATWA NA MATESO MENGI...HIVYO MWENYEZ MUNGU WAPE MAISHA MAREFU WAZAZI WANGU
UWAEPUSHE NA MATESO YOTE YATAKAYO WAKABILI,WAONGOZE KATIKA NJIA YA UZIMA DAIMA,
UWATANGULIE KATIKA MAMBO YOTE MAANA WEWE NDIE MWENYE NGUVU ,UWEZO,UTUKUFU NA UPENDO ZAIDI
MWENYEZI MUNGU SIMAMA UPANDE WAO DAIMA UWENGUZO YAO ...UWATAZAME KWA MACHO YAKO YA HURUMA
MWENYEZI MUNGU AGIZA MALAIKA WAKO WAWALINDE WATIWENGUVU DAIMA,
EHEEE BABA MUNGU WAEPUSHE NA MIKOSI MBALI MBALI YA KIDUNIA NAJUA KUWA DAIMA MWOVU HAPENDI KUONA WATU WAKO WANAPUMUA NA KUISHI KWA AMANI DUNIANI...........
MUNGU UWENASI DAIMA
KWA HAYA MACHACHE BABA NAKUOMBA NA KUSEMA AMEN..''.
23.NOVEMBER.2011
ELIA ABELIA
.......................
No comments:
Post a Comment