Nimbo za wasaani wetu zimeenderea kuwa za aina moja
ingawa zinaimbwa na wasaani tofauti wakati mwingine unaona wasaani ni wawili au zaidi lakini aina hiyo ya utunzi hufanana utunzi ufanana kwa kiasi kikubwa jambo ambalo binafsi linanikera sana.......
Ni hapo ninapoanza kuoji uelewa na vipaji vya wasaani wanaoshindwa kufanya kazi nyingine zaidi ya sanaa sasa nyimbo ni za aina moja sasa utata unakuja zinapokuwa ni za mapenzi ni jambo baya kupita kiasi maana wakati mwingine mashairi ni yaleyalr ila wanacho fanya ni kuyapindua juu chini au kulia na kushoto
hHili ni kushangaza kama sio kuhuzunisha lazima wasaani wenyewe mjitambue kuwa nyie ni nani na mnafanya nini na sanaa kwa ajili ya nani na nini huu ni utumbo na unatakiwa upigwe vita na wadau wote wakiwemo wasaani wenyewe wanaofanya kazi kwa kuangalia na kuyabadirisha ili tungo hizo zionekane ni tofauti
Msaani kama hana uwezo wa kuandika mashairi yake ni vema akaachana nayo ili ajifunze kama mungu amempa kipaji na hafanyi mzaa kwa kuuza sura na nyimbo mbaya au nzuri lakini imewai tungwa na wasaani wenzao waliohumiza vichwa kwa ajiri ya kazi hiyo
sanaa ni kazi kweli lakini sio kwa wasaani wetu kuona mtindo mzuri ni kubadirisha aina ya mashairi ya wenzao na kuimba wao tena jambo linalo fanya tungo zao kufanana kiasi kikubwa
Unafikia wakati mtu anashindwa kutofautisha wasanii husika kutokana na kero hiyo ya kuchakachuriana nyimbo zao wao kwa wao kwa kuigana kiajabu ajabu bila haya kwa wahusika
vichwa si navyo na mnajiita kweli wasaani , sasa huo mtindo wa kuigana nyimbo zenu kama kasuku una tokea wapi....please and please tuache wizi mtupuuuuuu... kama sanaa imekushindeni tafuta kazi nyingine itakayo kuretea kipato na sio kufakamia vya wenzenu................................
tumia jasho lako.......
No comments:
Post a Comment