WALEMAVU BADO WANAENDEREA KUATHIRIKA NA UMASIKINI, UKOSEFU WA AJIRA NA UBAGUZI KATIKA ELIMU NA HUDUMA ZA AFYA
LICHA YA SERIKALI MBALI MBALI DUNIANI KUTETEA NA KUWEKA SERA ZAKULINDA HAKI ZAO
TUPIGE VITA UBAGUZI TUTOE HAKI ZA BINADAMU NA UHURU KWA WATU WENYE ULEMAVU
BADO WALEMAVU WANAKABILIWA NA UKOSEFU WA AJIRA KUYUMBA KWA UCHUMI UHABA WA NISHATI MABADIRIKO YA HALI YA HEWA NA KUPANDA KWA BEI YA CHAKULA
WATU WENYE ULEMAVU NDIO WANAOHUMIA ZAIDI NA MATATIZO HAYA HIVYO NI WAJIBU WETU KUWARINDA
KILA MMOJA ANA WAJIBU MKUBWA WA KUTAMBUA NA KUTHAMINI UWEZO MKUBWA WALIONAO WALEMAVU KATIKA NYANJA MBALIMBALI
KUNA WATU WENGI WENYE ULEMAVU AMBAO WANAONESHA UJASIRI NA UHODARI MKUBWA SAWA NAWATU WENGINE RICHA YA ULEMAVU WAO
No comments:
Post a Comment