Wanamuziki wa sasa hawataki kujifunza ala ya saxaphone hata waliopo umri unawatupa katika fani
saxaphone maarufu kama ala za upepo ni miongoni mwa vyombo muhimu va muziki vilivyo hatarini kutowekan katika muziki wetu hapa nchini kwa sasa
Nchi nyingine kama za ulaya ala hiyo inatiliwa mkazo hadi kupendwa zaidi bemdi cmuziki kama mlimani park na msondo ngoma ndio pekee zinazo weza kutumia ala hizo katika nyimbo na muziki wao
baadhi ya sababu zinazofanya saxaphone kupotea
1 matumizi ya kinanda [key board] kunako fanywa na bendi pamoja na vikundi vya muzik nchini
2.hali ya vijana kutokuwa na moyo wa kujifunza ala hiyo
sio hivyo tu ala nyingine kama magita hali ni mbaya sana kwani vijana wanashindwa kujifunza ala hizo
3.utandawazi unaoenderea pamoja na matumizi ya sayansi na tecknologia na faida zake lakini kwa upande mwingine umechangia kuua vipaji vya wanamuziki vijana katika zama hizi
uko ulaya na marekani nchi zilizoenderea zinatumia tecknologia yao sio kwa kukuza tu ata kudumaza utamaduni wetu nchini na africa kwa ujumla baada ya kufanikiwa kuua ala za upepo nguvu sasa zinawekezwa katikaupigaji wa magita
serikali sasa pamoja na wanamuzik WANATAKIWA KUWA MAKINI SANA NA JAMBO HILI KWANI WATAALAMU WANAFADHILI MIDUNDO MILINDIMO KWENYE KOMPYUTA KWA NIA YA KUZITENGENEZA HAKI MILIKI KATIKA MIDUNDO ''MECHANICAL RIGHT''.
KWA VILE HATUANDAI VIJANA WETU KUJIFUNZA KUTUMIA ALA HIYO ITAKUWA NGUMU KUPIGA MUZIKI WETU KWANI ITABIDI TUNUNUE MIDUNDO NA MAPIGO KUTOKA KWAO . KIBAYA ZAIDI MIDUNDO NA MAPIGO HAYO YATAKUWA YANAUZWA KWA BEI GHARI NA KWA BAHATI MBAYA SANA HATUTAKUWA NA UWEZO WA KUNUNUA.
Jukumu la matunzo haya zisiachiwe taasisi za dini tu kama ilivyo kuwa nyuma hasa miaka ya 60 na70.Ala nyingine ni trumpent na trombone zimo hatarini kupote
tatizo la saxaphone kwa kweli ni ghari yaani ni ya gharama sana katika maduka ya muzik kwa mfano bei ya saxaphone inaweza kugharimu bei ya magita matatu ya solo [leading guitor] rydhim na base na kufanya upatikanaji wake kuwa mgumu sana
Bado sisi watanzania hatujaweka malengo kuwepo kwa saxaphone katika ustawi wa muziki
Serikari inatakiwa kuliangaria sualahili kwa macho manne ilikuakikisha chombo hicho kinaenderea kuwepo katika muzic wetu badara ya kutegemia muzic wa magita matatu.. kama ilivyo katika beni za africa star,akudo impacts,extral bongo na nyinginezo.
TUNAIOMBA SERIKARI ,WANAMUZIC, WASAANI NA WADAU WA MUZIC NCHINI KUFANYA KILA NJIA KUKINUSURU CHOMBO HICHO NA JAMII ZAKE NA IKIWEZEKANA ITILIE MKAZO MATUMIZI YA ALA ZA ASILI KAMA VILE ZUMARI,FILIMBI,ZEZE,VILIMBA,NGOMA, LITUNGI NA VINGINEVYO.....
ASANTENI.....PAMOJA DAIMA ......
TETEA SANAA YAKO....
MUZIKI NI BURUDANI
INAYO ANZIA NYUMBANI.
*****************************
No comments:
Post a Comment