MPENDE AKUPENDAE NA ASIEKUPENDA ACHANA NAE
MAPENZI NI MAZURI KAMA UTAMPATAYULE UMPENDAE NAYE AKAKUPENDA LAKINI NJE YA HAPO NI MAUMIVU MAKUBWA SANA
USILAZIMISHE KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI JAPO YEYE ANAONESHA KUKUPENDA
LAKINI ITAKUWA NI NGUMU SANA KWAKO KUONESHA MAPENZI NAE AKAFURAHI KWA KUWA WEWE HAUJAMPENDA
UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUKAA NAE CHINI UKAMUELEZA UKWELI KWAMBA HAUJAMPENDA ILI ASIJIGAMBE MOYONI KWAMBA IPO SIKU UTAMPENDA
MUELEZE UKWELI ILI NAYE AELEWE MSIMAMO WAKO WA KUMPA NAFASI WA KUTAFUTA MWINGINE AMBAYE UTAMPENDA
MPE NAFASI
MUELEZE UKWELI
USIFICHE MOYONI
USILAZIMISHE KITU KISICHO WEZEKANA
No comments:
Post a Comment