i warmly wellcome every body to this blog ...send your opinion....ideas or whatever to emprove this hand some blog......thanks every one....
Monday, July 1, 2013
MASHAIRI
--------------------------------------------------------------------------------
• Fasihi • Ushairi • Uchambuzi wa Mashairi

Yafuatayo ni mambo muhimu unayohitajika kuzingatia kila unapochambua shairi.
Muundo/Umbo la shairi
Uhuru wa Mshairi
Maudhui
Dhamira
Mtindo wa / Mbinu za Lugha
Muundo/Umbo la Ushairi
Katika umbo wa shairi, tunaangazia jinsi shairi lilivyoundwa kwa kuangazia mizani, vina, mishororo n.k Aidha, ni muhimu kutaja aina na bahari za shairi zinazohusiana na kila sifa uliyoitaja.
Idadi ya mishororo katika kila ubeti - Tumia idadi ya mishororo kubainisha aina ya shairi hilo.
Kwa mfano: Shairi lina mishororo minne katika kile ubeti, kwa hivyo ni Tarbia
Idadi ya mizani katika kila mshororo na katika kila kipande cha mshororo.
Kwa mfano: Kila mshororo una mizani kumi na sita: nane katika utao na nane katika ukwapi.
Idadi ya vipande katika kila mshororo - Taja ikiwa shairi lina kipande kimoja, viwili, vitatu au vinne kisha utaje bahari yake.
Kituo, kiishio au kibwagizo - Ikiwa mstari wa mwisho umerudiwa rudiwa, basi shairi lina kibwagizo au kiitikio, la sivyo lina kiishio.
Vina - Zingatia vina vya kati na vya mwisho kutoka ubeti mmoja hadi mwingine. Kisha utaje ikiwa ni Mtiririko, Ukara au Ukaraguni
Uhuru wa Mshairi
Mshairi hafungwi na kanuni za kisarufi za lugha katika utunzi wa shairi. Anaweza kufanya makosa ya kisarufi kimakusudi ili shairi lizingatie umbo fulani. Zifuatazo ni njia mbalimbali ambazo mtunzi wa shairi anaweza kutumia kuonyesha uhuru wake.
Inkisari - kupunguza idadi ya silabi katika neno ili kusawazisha idadi ya mizani katika mshororo.
mfano: kubadilisha 'nimeona aliyenipenda' kuwa 'meona alenipenda'.
Mazda - kuongeza silabi katika neno ili kusawazisha idadi ya mizani katika mshororo.
mfano: afya ukijaliwa kuwa afiya ukijaliwa .
Tabdila - kubadilisha silabi ya mwisho ili kustawazisha urari wa vina katika kipande bila kuathiri mizani.
mfano: yahuzunisha dunia kuwa yahuzunisha duniya .
Kuboronga Sarufi -ni mbinu ya kupangua mpangilio wa maneno ili kuleta urari wa vina au mdundo wa ushairi.
mfano: siku hiyo ikifika kuwa ikifika hiyo siku .
Utohozi - Kuswahilisha Maneno - Wakati mwingine mshairi anaweza kubadilisha neno la lugha nyingine litamkike kwa Kiswahili ili kudumisha mdundo wa kishairi na pia kupata neno mwafaka litakalotimiza arudhi za kiushairi.
mfano: tukapata intaneti badala ya tukapata 'internet' ama mtandao wa tarakilishi.
Maudhui
Maudhui ni jumla ya ujumbe na mawazo mbalimbali yanayojitokeza katika shairi fulani. Haya ni mambo yanayotajwa katika hadithi na yanaweza kujumuisha mawazo zaidi ya moja. Maudhui husaidia kujenga dhamira ya shairi.
Dhamira
Dhamira ni lengo, dhumuni au nia ya mtunzi wa shairi. Mtunzi wa shairi anaweza kuwa na kusudi la kutuonya, kututahadharisha au kutunasihi kuhusiana na jambo fulani.
Mtindo wa Lugha
Mtindo wa lugha hurejelea namna mbalimbali ambazo mshairi anatumia mbinu za lugha. Mshairi anaweza kutumia mbinu za lugha. kama vile: Tanakali za Sauti, Istiara, Takriri, Semi n.k
Angalia: Mbinu za Lugha katika Fasihi
MAGHANI
Zipo fani mbali mbali za maghani ambazo zimeainishwa katika tanzu mbili kuu:
Maghani ya Kawaida
Maghani ya Masimulizi
--------------------------------------------------------------------------------
Maghani ya Masimulizi
Lengo la maghani ya aina hii ni kusimulia kisa fulani, historia, n.k.
Kuna fani mbili za Maghani ya Masimulizi:
a) Tendi
Tendi ni ushairi mrefu unaosimulia matukio ya kishujuaa. Tendi zinaposimuliwa huandamana na ala za muziki.
Sifa za Tendi:
Ni ushairi mrefu
Husimulia matendo ya kishujaa kwa njia kishairi
Husimuliwa badala ya kuimbwa
Huandamana na ala za muziki
Husimulia visa vya kihistoria
Hutungwa papo kwa hapo

b) Rara
Hizi ni hadithi fupi za kishairi zenye visa vya kusisimua, zinazosimuliwa zikiambatanishwa na ala za muziki. Aghalabu hughanwa na watoto; na hutumika kama michezo ya watoto.
Sifa za Rara
Ni hadithi fupi za kishairi
Husimulia visa vya kusisimua
Zinaweza kuimbwa au kusimuliwa
Huambatana na ala za muziki
Aghalabu huwa ni visa vya kubuni

Maghani ya Kawaida (Sifo)
Maghani ya Kawaida ni maghani yanayosifia mtu, kitu au hali katika jamii
a) Majigambo au Kivugo
Haya ni maghani ambayo mtunzi hujisifia (kujigamba) namna alivyo hodari katika nyanja fulani. Tungo hizi hutumia chuku na maneno ya kejeli kuwadunisha wapinzani wa mtunzi.
Sifa za Majigambo
Hutumia nafsi ya kwanza
Msimulizi hutumia maneno ya kujigamba
Msimulizi hutumia chuku kwa wingi ili kujisifu
Hutungwa kwa ubunifu mkubwa na hutumia mbinu kama sitiari, vidokezi, ishara n.k
Majigambo mengi huwa mafupi, lakini baadhi yake huwa marefu.
Huwa na matendo matukufu ya msimulizi
Huwa na ahadi za matendo kutoka kwa msimulizi

b) Tondozi
Tondozi ni aina ya sifo ambayo husifia watu mashuhuri katika jamii kama vile viongozi
Sifa za Tondozi
Huwa ni ushairi wa kusimuliwa
Husifia mtu mwengine, mtu mashuhuri
Hutumia chuku
Hutumia mbinu kama sitiari, vidokezi, ishara n.k
Hutaja matendo makubwa ya kiongozi anayesifiwa
Pembezi
Pembezi ni maghani ya kumsifu mpenzi.
Sifa za Pembezi
Humsifu mpenzi wa mtu
Aghalabu huwa ushairi mfupi
Hutumia tamathali za lugha kwa wingi kama vile ishara kusimulia umbo la mpenzi
Pembezi zinaweza kuandamana na ngoma
ii) Pembezi - tungo za sifa. Zinaweza kusifia kundi fulani la watu, wanyama, njaa, mvua, n.k

USHAIRI
USHAIRI
Utanzu wa Fasihi
Nyimbo
Fasihi Andishi
Kiingereza Poetry
Andishi Fasihi Simulizi
Ushairi ni utungo wa kisanaa unaotumia lugha teule na mpangilio fulani wa maneno badala ya kutumia lugha natharia(mflulizo).
--------------------------------------------------------------------------------
Ushairi unaweza kuwa kipera cha fasihi simulizi (nyimbo) na pia katika fasihi andishi kwa sababu mashairi yanaweza kuwasilishwa kwa njia ya kukariri na pia kwa njia ya maandishi. Mashairi yanayoghanwa badala ya kuimbwa huitwa maghani.

Katika ushairi, tutaangalia:
KIPENGELE MAELEZO KWA UFUPI
Aina za Mashairi Kuainisha mashairi kulingana na idadi ya mishororo katika kila ubeti.
Bahari za Ushairi Muundo wa shairi kulingana vina, idadi ya mizani, vipande, mpangilio wa maneno n.k.
Uchambuzi wa Mashairi Mambo muhimu unayohitajika kuzingatia unapochambua shairi
Uhuru wa Mshairi Ukiukaji wa kanuni za sarufi
Istilahi za Kishairi Msamiati unaotumika katika ushairi km vina, mizani n.k
Sifa za Ushairi Sifa zinazobainisha ushairi kutokana na aina nyingine za sanaa.
Umuhimu wa Ushairi Umuhimu wa ushairi katika jamii.

Istilahi za Kishairi
Haya ni baadhi ya maneno ambayo hautakosa kukutana nayo unapozingatia ushairi. Ni muhimu mwanafunzi kuyajua vizuri.
Shairi - ni sanaa ya maneno (utunzi maalum wa lugha ya kisanaa) unaotumia mpangilio na uteuzi maalum wa maneno na sauti ili kupitisha ujumbe fulani.
Vina - ni silabi za mwisho katika kila kipande.
Mizani - ni idadi ya silabi katika kila mshororo.
Mshororo - ni msitari mmoja wa maneno katika shairi.
Ubeti - ni kifungu cha mishororo kadhaa.
Vipande - ni visehemu vya mshororo vilivyogawanywa kwa alama ya kituo(,)
Ukwapi - kipande cha kwanza katika mshororo
Mwandamo - Kipande cha tatu katika mshororo
Ukingo - kipande cha nne katika mshororo
Utao - kipande cha pili katika mshororo
Mwanzo - mshororo wa kwanza katika ubeti
Mloto - mshororo wa pili katika ubeti
Kimalizio/Kiishio - mshororo wa mwisho katika ubeti usiorudiwarudiwa katika kila ubeti.
Kibwagizo - mshororo wa mwisho katika ubeti unaorudiwarudiwa kila ubeti.

Sifa za Ushairi
Huwa na vina, mizani, mishororo na beti
Hutumia lugha teule
Hufupisha au kurefusha maneno ili kutosheleza idadi ya mizani
Mashairi hayazingatii kanuni za kisarufi. (Angalia uhuru wa mshairi)
Hutumia mbinu za lugha

Umuhimu wa Mashairi
Kuburudisha
Kuhamasisha jamii
Kukuza sanaa na ukwasi wa lugha
Kuliwaza
Kuelimisha
Kuonya, kutahadharisha, kunasihi na kuelekeza
Kupitisha ujumbe fulani
Kusifia mtu au kitu
Kukejeli au kukemea mambo yanayoenda kinyume na maadili ya jamii

UCHAMBUZI WA MASHAIRI
Uchambuzi wa Mashairi
--------------------------------------------------------------------------------
• Fasihi • Ushairi • Uchambuzi wa Mashairi
--------------------------------------------------------------------------------
Yafuatayo ni mambo muhimu unayohitajika kuzingatia kila unapochambua shairi.
Muundo/Umbo la shairi
Uhuru wa Mshairi
Maudhui
Dhamira
Mtindo wa / Mbinu za Lugha
Muundo/Umbo la Ushairi
Katika umbo wa shairi, tunaangazia jinsi shairi lilivyoundwa kwa kuangazia mizani, vina, mishororo n.k Aidha, ni muhimu kutaja aina na bahari za shairi zinazohusiana na kila sifa uliyoitaja.
Idadi ya mishororo katika kila ubeti - Tumia idadi ya mishororo kubainisha aina ya shairi hilo.
Kwa mfano: Shairi lina mishororo minne katika kile ubeti, kwa hivyo ni Tarbia
Idadi ya mizani katika kila mshororo na katika kila kipande cha mshororo.
Kwa mfano: Kila mshororo una mizani kumi na sita: nane katika utao na nane katika ukwapi.
Idadi ya vipande katika kila mshororo - Taja ikiwa shairi lina kipande kimoja, viwili, vitatu au vinne kisha utaje bahari yake.
Kituo, kiishio au kibwagizo - Ikiwa mstari wa mwisho umerudiwa rudiwa, basi shairi lina kibwagizo au kiitikio, la sivyo lina kiishio.
Vina - Zingatia vina vya kati na vya mwisho kutoka ubeti mmoja hadi mwingine. Kisha utaje ikiwa ni Mtiririko, Ukara au Ukaraguni
Uhuru wa Mshairi
Mshairi hafungwi na kanuni za kisarufi za lugha katika utunzi wa shairi. Anaweza kufanya makosa ya kisarufi kimakusudi ili shairi lizingatie umbo fulani. Zifuatazo ni njia mbalimbali ambazo mtunzi wa shairi anaweza kutumia kuonyesha uhuru wake.
Inkisari - kupunguza idadi ya silabi katika neno ili kusawazisha idadi ya mizani katika mshororo.
mfano: kubadilisha 'nimeona aliyenipenda' kuwa 'meona alenipenda'.
Mazda - kuongeza silabi katika neno ili kusawazisha idadi ya mizani katika mshororo.
mfano: afya ukijaliwa kuwa afiya ukijaliwa .
Tabdila - kubadilisha silabi ya mwisho ili kustawazisha urari wa vina katika kipande bila kuathiri mizani.
mfano: yahuzunisha dunia kuwa yahuzunisha duniya .
Kuboronga Sarufi -ni mbinu ya kupangua mpangilio wa maneno ili kuleta urari wa vina au mdundo wa ushairi.
mfano: siku hiyo ikifika kuwa ikifika hiyo siku .
Utohozi - Kuswahilisha Maneno - Wakati mwingine mshairi anaweza kubadilisha neno la lugha nyingine litamkike kwa Kiswahili ili kudumisha mdundo wa kishairi na pia kupata neno mwafaka litakalotimiza arudhi za kiushairi.
mfano: tukapata intaneti badala ya tukapata 'internet' ama mtandao wa tarakilishi.
Maudhui
Maudhui ni jumla ya ujumbe na mawazo mbalimbali yanayojitokeza katika shairi fulani. Haya ni mambo yanayotajwa katika hadithi na yanaweza kujumuisha mawazo zaidi ya moja. Maudhui husaidia kujenga dhamira ya shairi.
Dhamira
Dhamira ni lengo, dhumuni au nia ya mtunzi wa shairi. Mtunzi wa shairi anaweza kuwa na kusudi la kutuonya, kututahadharisha au kutunasihi kuhusiana na jambo fulani.
Mtindo wa Lugha
Mtindo wa lugha hurejelea namna mbalimbali ambazo mshairi anatumia mbinu za lugha. Mshairi anaweza kutumia mbinu za lugha. kama vile: Tanakali za Sauti, Istiara, Takriri, Semi n.k
Angalia: Mbinu za Lugha katika Fasihi
--------------------------------------------------------------------------------
• Fasihi • Ushairi • Uchambuzi wa Mashairi
--------------------------------------------------------------------------------
Yafuatayo ni mambo muhimu unayohitajika kuzingatia kila unapochambua shairi.
Muundo/Umbo la shairi
Uhuru wa Mshairi
Maudhui
Dhamira
Mtindo wa / Mbinu za Lugha
Muundo/Umbo la Ushairi
Katika umbo wa shairi, tunaangazia jinsi shairi lilivyoundwa kwa kuangazia mizani, vina, mishororo n.k Aidha, ni muhimu kutaja aina na bahari za shairi zinazohusiana na kila sifa uliyoitaja.
Idadi ya mishororo katika kila ubeti - Tumia idadi ya mishororo kubainisha aina ya shairi hilo.
Kwa mfano: Shairi lina mishororo minne katika kile ubeti, kwa hivyo ni Tarbia
Idadi ya mizani katika kila mshororo na katika kila kipande cha mshororo.
Kwa mfano: Kila mshororo una mizani kumi na sita: nane katika utao na nane katika ukwapi.
Idadi ya vipande katika kila mshororo - Taja ikiwa shairi lina kipande kimoja, viwili, vitatu au vinne kisha utaje bahari yake.
Kituo, kiishio au kibwagizo - Ikiwa mstari wa mwisho umerudiwa rudiwa, basi shairi lina kibwagizo au kiitikio, la sivyo lina kiishio.
Vina - Zingatia vina vya kati na vya mwisho kutoka ubeti mmoja hadi mwingine. Kisha utaje ikiwa ni Mtiririko, Ukara au Ukaraguni
Uhuru wa Mshairi
Mshairi hafungwi na kanuni za kisarufi za lugha katika utunzi wa shairi. Anaweza kufanya makosa ya kisarufi kimakusudi ili shairi lizingatie umbo fulani. Zifuatazo ni njia mbalimbali ambazo mtunzi wa shairi anaweza kutumia kuonyesha uhuru wake.
Inkisari - kupunguza idadi ya silabi katika neno ili kusawazisha idadi ya mizani katika mshororo.
mfano: kubadilisha 'nimeona aliyenipenda' kuwa 'meona alenipenda'.
Mazda - kuongeza silabi katika neno ili kusawazisha idadi ya mizani katika mshororo.
mfano: afya ukijaliwa kuwa afiya ukijaliwa .
Tabdila - kubadilisha silabi ya mwisho ili kustawazisha urari wa vina katika kipande bila kuathiri mizani.
mfano: yahuzunisha dunia kuwa yahuzunisha duniya .
Kuboronga Sarufi -ni mbinu ya kupangua mpangilio wa maneno ili kuleta urari wa vina au mdundo wa ushairi.
mfano: siku hiyo ikifika kuwa ikifika hiyo siku .
Utohozi - Kuswahilisha Maneno - Wakati mwingine mshairi anaweza kubadilisha neno la lugha nyingine litamkike kwa Kiswahili ili kudumisha mdundo wa kishairi na pia kupata neno mwafaka litakalotimiza arudhi za kiushairi.
mfano: tukapata intaneti badala ya tukapata 'internet' ama mtandao wa tarakilishi.
Maudhui
Maudhui ni jumla ya ujumbe na mawazo mbalimbali yanayojitokeza katika shairi fulani. Haya ni mambo yanayotajwa katika hadithi na yanaweza kujumuisha mawazo zaidi ya moja. Maudhui husaidia kujenga dhamira ya shairi.
Dhamira
Dhamira ni lengo, dhumuni au nia ya mtunzi wa shairi. Mtunzi wa shairi anaweza kuwa na kusudi la kutuonya, kututahadharisha au kutunasihi kuhusiana na jambo fulani.
Mtindo wa Lugha
Mtindo wa lugha hurejelea namna mbalimbali ambazo mshairi anatumia mbinu za lugha. Mshairi anaweza kutumia mbinu za lugha. kama vile: Tanakali za Sauti, Istiara, Takriri, Semi n.k
Angalia: Mbinu za Lugha katika Fasihi
BAHARI YA USHAIRI
--------------------------------------------------------------------------------
• Bahari za Ushairi
--------------------------------------------------------------------------------
Bahari za ushairi ni nyingi sana. Shairi huainishwa katika bahari fulani kulingana na mtindo wake, umbo lake na matumizi ya lugha.
Baadhi ya bahari za ushairi ni:
Utenzi - shairi ndefu lenye kipande kimoja katika kila mshororo.
Mathnawi - ni shairi la vipande viwili (ukwapi na utao) katika kila mshororo.
Ewe mtunga silabi, na sauti ya kinubi,
Majukumu hatubebi, maadamu hatushibi,
Mateso kwa ajinabi, kwa mabwana na mabibi
Ukija hayatukabi, karibia karibia
Ukawafi - ni shairi la vipande vitatu (ukwapi, utao na mwandamo) katika kila mshororo.
Nashindwa nikupe nini, nishukuru kwa malezi, mapenzi na riziki,
Ni pendo kiasi gani, lishindalo la mzazi, kweli mama hulipiki,
Ulinilinda tumboni, ukilemewa na kazi, ila moyo huvunjiki,
Kanilisha utotoni, mavazi pia malazi, ukitafuta kwa dhiki.
Mavue - Shairi la vipande vinne (ukwapi, utao, mwandamo na ukingo) katika kila mshororo.
Sisi walipa ushuru, wajenga taifa, tena kwa bidii, twahangaishwa,
Tumenyimwa uhuru, tuna mbaya sifa, hatujivunii, tunapopotoshwa,
Kila tunapopazuru, damu na maafa, hatutulii, hali ya kutishwa
Ukaraguni - shairi ambalo vina vyake vya kati na vya mwisho hubadilika kutoka ubetio mmoja hadi mwingine.
Vina Ubeti 1: ---ni, ---mi,
ubeti 2: ---ta, ---lo,
ubeti 3: ---po, ---wa,
Ukara - shairi ambalo vina vya kipande kimoja havibadiliki kutoka ubeti mmoja hadi mwingine, lakini vina vya kipande kingine hubadilika. Kwa mfano, vina vya kati vinafanana kutoka ubeti wa kwanza hadi wa mwisho lakini vina vya kipande cha mwisho vinabadilika kutoka ubeti mmoja hadi mwingine.
vina Ubeti 1: ---shi, ---ma,
ubeti 2: ---shi, ---ko,
ubeti 3: ---shi, ---le,
ubeti 4: ---shi, ---pa
Mtiririko - shairi ambalo vina vyake vya mwisho na vya kati havibadiliki kutoka ubeti wa kwanza hadi wa mwisho.
kwa mfano vina vikiwa ( ---ni, ---ka) kutoka ubeti wa kwanza hadi wa mwisho.
Mkufu/pindu - Shairi ambalo neno la mwisho au kifungu cha mwisho cha maneno katika ubeti mmoja, hutangulia katika ubeti unaofuatia.
Hakika tumeteleza, na njia tumepoteza,
Nani wa kutuongoza, aliyepewa uweza,
Filimbi akipuliza, tusiyeweza kupuuza,
Bali twaisikiliza, bila ya kuzungumza,
Bila ya kuzungumza, wala mwendo kulegeza,
Tumwandame ja mwangaza, kututoa palipo giza,
Penye dhiki ya kuliza, bila sauti kupaza
Pengo hili kulijaza, ni nani anayeweza,
Kikwamba - Neno moja au kifungu cha maneno hurudiwarudiwa kutanguliza mishororo au ubeti katika shairi.
Jiwe hili lala nini, ila moshi na majani,
Jiwe linalala lini, litokapo vileoni,
Jiwe hili halineni, lina macho halioni,
Jiwe na tulibebeni, tulitupe mitaroni
Kikai - Shairi lenye kipande kimoja kifupi (chenye mizani chache kuliko kingine) Mfano (8,4)
Nani binadamu yule, adumuye,
Anayeishi milele, maishaye
Jenezani asilale, aluliye,
Kaburi liko mbele, sikimbiye.
Msuko - Shairi ambalo kibwagizo/mshororo wa mwisho ni mfupi kuliko mishororo mingineyo. K.v (8,8) (8,8) (8,8) (8).
Hawajazawa warembo, usidhani umefika,
Ukisifiwa mapambo, jinsi ulivyoumbika,
Akipata jipya umbo, 'tabaki kihangaika,
Usidhani umefika.
Mandhuma - shairi ambalo kipande kimoja hutoa hoja, wazo ama swali, huku cha pili kikitoa jibu/suluhisho.
Malumbano - Mashairi mawili ambapo mshairi mmoja hutunga shairi akijibu au kupinga utunzi wa mshairi mwengine.
Ngonjera - Shairi lenye wahusika wawili wanaojibizana. K.m. Ubeti wa kwanza, mwalimu, na wa pili, mwanafunzi.
Sakarani - Shairi lenye bahari zaidi ya moja.
Sabilia - Shairi lisilokuwa na kibwagizo. Kituo (mshororo wa mwisho) hubadilika kutoka ubeti hadi ubeti.
Shairi huru - shairi lisilozingatia sheria za ushairi
Shairi guni - shairi lenye makosa ya arudhi za shairi
Saturday, April 6, 2013
TO MAGELIA
ELIABELIA
POBOX JOELIA
NOELIA CITY
6 O4 2013
DEAR MAGELIA
HUJAMBO
MZIMA WEWE
HABARI ZA SIKU NYINGI
NI MIAKA MITATU SASA TANGU TUMEONANA,KWA KWELI NAKUMISS NA KUKUMBUKA SANA MAGELIA,WANASEMJE HAPO NYUMBANI,BABU NA BIBI HUKU ARUSHA WANA WANA KUSALIMIA SANA,KWA KWELI WAMEKUKUMBUKA MPAKA BASI.POLE NA KAZI NYINGI ZA HUKO DODOMA.
NITAFURAHI SANA KAMA SIKU MOJA TUTAONANA KWA KWELI NIPO VIZURI KI AFYA NAENDEREA VIZURI NAMASOMO HOFU NA MASHAKA NI JUU YAKO MAGELIA
MIMI SINA MENGI YA KUKUANDIKIA ZAIDI YA KUKUTAKIA MAISHA MEMA.
WAKO SIKU ZOTE
ELIA ABELIA
ELAIJA ELIA
ELIA MWALUKALI

Friday, April 5, 2013
WIMBO MZURI
MAMA TANZANIA
...................................................................................................................................................................
BETI YA 1

ASANTEMOLA,KUMUUMBA
MAMAMWEMA,TANZANIA
UMEMPA,MAZIWA HUBA
WATU WANYAMA,WANAVUTIA
MILIMABONDE,YA ASILI
MITO MAZIWA,YA ASALI
WAJIBUWETU,KWAKOMAMA
KUKUTUNZA,NENEPAVEMA

KIBWAGIZO
..................................................................................................................................................................
NAKUPENDA,NAKUPENDA
NAKUPENDA,TANZANIA X4

BETI YA PILI
.................................................................................................................................................................
MAMAMWENYE,MENGI MAPENZI
UDUMU WAKO,MUUNGANO
MATATIZO,YALIYOPOTUSIYAHENZI
UONGOZI MUBAYA,UFISADI NA RUSHWA
UMASIKINI,MAGONJWA,UJINGA,UVIVU
NIADITHIE,ILESIRI,YA UMOJA,NA NGUVU
AMANI,UPENDO,UMOJA,MSHIKAMO

BETI YA TATU

MAMAYANGU,TANZANIA
MATAIFA,YANASEMA
MAPENZIBORA,UMEJALIWA
WAKIMBIZI ,WAKULILIA
NYUMBANI,HAWARUDIA
AMANI,WALILIA
MAMAYANGU,TANZANIA
NIONESHE,YAKO MAHABA,
NIKUMBATIE,BUSUMWANANA
NINAKUPENDA ,WAKO MWANA
FAHARI,NINAHIONA
KUZALIWA,TANZANIA
MAMAMWINGINE,MIMISINA
NIKUPENDA,WAKO MWANA

LILIANDIKWA TAREHE 5.4.2013

BY ELAIJA ELIA{ELIAKIM MWALUKALI}
....................................................................................................................................................................

I'M NOT SINGLE................SIKO PEKEE YANGU
SIKO PEKEE YANGU
NAWASHANGAA SANA WATU WANAOSEMA WAKO PEKEE YAO
NAWASHANGAA WATU WANAOLIA NA KUSEMA WAMEACHWA
NAWASHANGA WTU WANAOSIKITIKIA UPWEKE
HUO UPWEKE UKO WAP NDUGU ZANGU?
HUO UPWEKE UNATOKA WAPI?
HUO UPWEKE UNASABABISHWA NA NINI?
KWA KIFUPI MIMI NAWEZA KUSEMA I'M NOT SINGLE....KWA LUGHA YA KISWAHILI NAWEZA SEMA MIMI SIKO MPWEKE...
YUPO ANIONGOZAYE
YUPO ANIFUATAYE
YUPO ANISHIKAYE MKONO
YUPO ANISEMESHAYE
NA PIA UNIFANYA NITABASAMU NA KUCHEKA
"
NI NANI HUYO
HUYO NI MUNGU WANGU
MWANA WA MARIA
"
" IM HAPPY BOY.....MIMI NI MVULANA MWENYE FURAHA"
mungu atasimama upande wangu milele
UWE NAMI EEEWE BWANA
INGAWA DUNIA INANIONA KAMA KITUKO NA KICHEKESHO
INGAWA DUNIA INA NIONA KAMA SINA THAMANI
INGAWA DUNIA INA NIONA KAMA GUNIA LA TAKA TAKA
INGAWA DUNIA INANIONA KAMA NIMEPOTOKA
RAFIKI ZANGU NINAHOONGEA ANO SIKU ZOTE WANA NIDHARAU NA KUNIKIMBIA
JIRANI ZANGU WANANICHUKIA NA KUNIEPUKA
MAADUI ZANGU WANAJENGA NGOME YA UADUI ILI NIINGIE MTEGONI
BWANA UWE NAMI EWE MFALME
WEWE NDIE RAFIKI MWEMA NA PIA WEWE UWEZI KUNIDHARAU NA KUNIKIMBIA
WEWE NIJIRANI YANGU HUWEZI KUNIKUNICHUKIA NA KUNIEPUKA
BALI WEWE UPO KARIBU NAMI MILELE NA MILELE
BWANA UNIJUZE NJIA ZAKO NJEMA ILI NIZIFUATE
BWANA WEWE TU NI MKUU WA MATAIFA
UNIONGOZE KATIKA NJIA YA FURAHA NA AMANI
NIKUJUWE WEWE TU
NIKUTUMIKIE WEWE TU
NIKUKUMBILIE WEWE TU
NIKULILIE WEWE TU
NIKUONE WEWE TU
UWE NAMI EWE BWANA NA MWOKOZI WANGU
UNIPIGANIE MPAKA KUFA
NAPATA RAHA SANA MOYONI UNAPOSEMA WANIPENDA
NANI NI MKUU KAMA WEWE
HAKUNA KAMA WEWE
UWE NAMI BWAN AWANGU
USILIE SANA NDUGU YANGU
KILA CHOZI LITAFUTWA
INGAWA UNA SHIDA NA TABU NYINGI ZA DUNIANI
INGAWA UNA MATESO NA MASUMBUKO
INGAWA UNA MAUMIVU NA MAHANGAIKO
HATA UKIIANGALIA DUNIA WAONA KAMA NI MZIGO MZITO USIO BEBEKA
USILIE SANA NDUGU YANGU
WALA USIVUMILIE KUONA CHOZI LINA KUHUMIZA
MUNGU ANA LENGO NA MAISHA YAKO........
MUNGU ATAKUSIMAMIA NA KUKUPIGANIA
MUNGU ATAKUPA NGUVU YA KUYASHINDA MATESO NA MAUMIVU YAKO
PIGA GOTI
TAZAAMA JUU MBINGUNI
MTAZAME MUNGU
FUMBA MACHO
INAMA MBELE ZA MUNGU
MWAMBIE MUNGU
"BABA UNISAIDIE"
KILA CHOZI LITAFUTWA
elaija elia....................eliaabelia25@gmail.com
SINA CHA KUHAIDI MBELE ZAKO BWANA
UNIPE HAJA ZA MOYO WANGU
MWENYEZI MUNGU WA IBRAHIMI
MIMI SINA CHA KUKUPA MAISHANI MWANGU
NIKIKUPA SADAKA ZOTE ZINATOKA KWAKO
NIKIKUPA MALI FAHARI NA UTAJIRI VYOTE VINATOKA KWAKO
NIKUPE NINI EWE BABA WA FAHARI NA FARAJA
NIKUPE NINI EWE BABA WA AMANI
CHUKUA MWILI WANGU....CHUKUA ROHOOO YANGU
LAKINI VYOTE HAVITOSHI KWASABAU NI MALI YAKO
SIONI THAMANI YA KUKUPA UNIPACHO
ILA NAONA THAMANI KUWA MWANA WAKO
UNIPACHO NI KIKUBWA ZAIDI YA NITOACHO
MIMI NI MWENYENYE ZAMBI NA MKOSAJI
LAKINI BWANA UNIPE HAJA ZA MOYO WANGU
UNIONGOZE NA KUNISAIDIA

SALA YA LEO
- ASANTE SANA MWENYEZ MUNGU
mwenyezi mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyo
asante sana kunipa maisha haya niliyo nayo
nakushukuru sana baba kwa mapenzi bora unioneshayo
ewe baba umenipa elimu,akili na maharifa
umeniongoza ili niwe mtiifu mbele zako
baba asante kwa vyote
nikilitaja jina lako nahisi sijapungukiwa ana kitu
maisha yangu yanakutegemea
roho yangu ina kulilia
ewe baba yangu wa mbinguni
nakupenda sana
nakuhitaji milele
uwe wangu mpaka kufa
unilinde na adui shetani
wala asipae nafasi ya kunitawala
ewe baba nakushukuru kwa mapenzi yote unipayo
katika jina la yesu mwana wa maria
amen
Sunday, March 31, 2013
Saturday, March 2, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)