SIKO PEKEE YANGU
NAWASHANGAA SANA WATU WANAOSEMA WAKO PEKEE YAO
NAWASHANGAA WATU WANAOLIA NA KUSEMA WAMEACHWA
NAWASHANGA WTU WANAOSIKITIKIA UPWEKE
HUO UPWEKE UKO WAP NDUGU ZANGU?
HUO UPWEKE UNATOKA WAPI?
HUO UPWEKE UNASABABISHWA NA NINI?
KWA KIFUPI MIMI NAWEZA KUSEMA I'M NOT SINGLE....KWA LUGHA YA KISWAHILI NAWEZA SEMA MIMI SIKO MPWEKE...
YUPO ANIONGOZAYE
YUPO ANIFUATAYE
YUPO ANISHIKAYE MKONO
YUPO ANISEMESHAYE
NA PIA UNIFANYA NITABASAMU NA KUCHEKA
"
NI NANI HUYO
HUYO NI MUNGU WANGU
MWANA WA MARIA
"
" IM HAPPY BOY.....MIMI NI MVULANA MWENYE FURAHA"
No comments:
Post a Comment