INGAWA UNA SHIDA NA TABU NYINGI ZA DUNIANI
INGAWA UNA MATESO NA MASUMBUKO
INGAWA UNA MAUMIVU NA MAHANGAIKO
HATA UKIIANGALIA DUNIA WAONA KAMA NI MZIGO MZITO USIO BEBEKA
USILIE SANA NDUGU YANGU
WALA USIVUMILIE KUONA CHOZI LINA KUHUMIZA
MUNGU ANA LENGO NA MAISHA YAKO........
MUNGU ATAKUSIMAMIA NA KUKUPIGANIA
MUNGU ATAKUPA NGUVU YA KUYASHINDA MATESO NA MAUMIVU YAKO
PIGA GOTI
TAZAAMA JUU MBINGUNI
MTAZAME MUNGU
FUMBA MACHO
INAMA MBELE ZA MUNGU
MWAMBIE MUNGU
"BABA UNISAIDIE"
KILA CHOZI LITAFUTWA
elaija elia....................eliaabelia25@gmail.com
No comments:
Post a Comment