- ASANTE SANA MWENYEZ MUNGU
mwenyezi mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyo
asante sana kunipa maisha haya niliyo nayo
nakushukuru sana baba kwa mapenzi bora unioneshayo
ewe baba umenipa elimu,akili na maharifa
umeniongoza ili niwe mtiifu mbele zako
baba asante kwa vyote
nikilitaja jina lako nahisi sijapungukiwa ana kitu
maisha yangu yanakutegemea
roho yangu ina kulilia
ewe baba yangu wa mbinguni
nakupenda sana
nakuhitaji milele
uwe wangu mpaka kufa
unilinde na adui shetani
wala asipae nafasi ya kunitawala
ewe baba nakushukuru kwa mapenzi yote unipayo
katika jina la yesu mwana wa maria
amen
No comments:
Post a Comment