UWE NAMI EEEWE BWANA
INGAWA DUNIA INANIONA KAMA KITUKO NA KICHEKESHO
INGAWA DUNIA INA NIONA KAMA SINA THAMANI
INGAWA DUNIA INA NIONA KAMA GUNIA LA TAKA TAKA
INGAWA DUNIA INANIONA KAMA NIMEPOTOKA
RAFIKI ZANGU NINAHOONGEA ANO SIKU ZOTE WANA NIDHARAU NA KUNIKIMBIA
JIRANI ZANGU WANANICHUKIA NA KUNIEPUKA
MAADUI ZANGU WANAJENGA NGOME YA UADUI ILI NIINGIE MTEGONI
BWANA UWE NAMI EWE MFALME
WEWE NDIE RAFIKI MWEMA NA PIA WEWE UWEZI KUNIDHARAU NA KUNIKIMBIA
WEWE NIJIRANI YANGU HUWEZI KUNIKUNICHUKIA NA KUNIEPUKA
BALI WEWE UPO KARIBU NAMI MILELE NA MILELE
BWANA UNIJUZE NJIA ZAKO NJEMA ILI NIZIFUATE
BWANA WEWE TU NI MKUU WA MATAIFA
UNIONGOZE KATIKA NJIA YA FURAHA NA AMANI
NIKUJUWE WEWE TU
NIKUTUMIKIE WEWE TU
NIKUKUMBILIE WEWE TU
NIKULILIE WEWE TU
NIKUONE WEWE TU
UWE NAMI EWE BWANA NA MWOKOZI WANGU
UNIPIGANIE MPAKA KUFA
NAPATA RAHA SANA MOYONI UNAPOSEMA WANIPENDA
NANI NI MKUU KAMA WEWE
HAKUNA KAMA WEWE
UWE NAMI BWAN AWANGU
No comments:
Post a Comment