UNIPE HAJA ZA MOYO WANGU
MWENYEZI MUNGU WA IBRAHIMI
MIMI SINA CHA KUKUPA MAISHANI MWANGU
NIKIKUPA SADAKA ZOTE ZINATOKA KWAKO
NIKIKUPA MALI FAHARI NA UTAJIRI VYOTE VINATOKA KWAKO
NIKUPE NINI EWE BABA WA FAHARI NA FARAJA
NIKUPE NINI EWE BABA WA AMANI
CHUKUA MWILI WANGU....CHUKUA ROHOOO YANGU
LAKINI VYOTE HAVITOSHI KWASABAU NI MALI YAKO
SIONI THAMANI YA KUKUPA UNIPACHO
ILA NAONA THAMANI KUWA MWANA WAKO
UNIPACHO NI KIKUBWA ZAIDI YA NITOACHO
MIMI NI MWENYENYE ZAMBI NA MKOSAJI
LAKINI BWANA UNIPE HAJA ZA MOYO WANGU
UNIONGOZE NA KUNISAIDIA
No comments:
Post a Comment