Saturday, January 5, 2013

 ingawa wewe ni mtanzania
 lakini je?
 umewai ona tecknolojia ya kijijini
 wenzetu kijijini wanatumia mashine hii kusaga nafaka tu.....cheki hapa...haya ni mafuta ya petroli kwa ajiri yakusaidia mashine ifanye kazi
 genereta pia utumika kuifanya mashine isage unga na nafaka nyinginezo
 sio kazi laisi inaitajikka nguvu ya ziada kuiwasha hiyo mashine

 binafsi niliona ni jinsi gani machine hiyo ikifanya kazi
 oooooh jamani ni nzuri saaanaaaa

No comments:

Post a Comment