1
WA MILELE MILELE MUNGU,WABARAKA NI YESU BWANA
WAMILELE MILELE MUNGU WABARAKA NI YESU BWANA.X4
ANASUMBUKIA ELIMU YANGU
ANASUMBUKIA KAZI ZANGUU
ANASUMBUKIA MATESO YANGU
2
WA MILELE MILELE MUNGU WA BARAKA NI YESU BWANA
WA MILELE MILELE MUNGU WA BARAKA NI YESU BWANA
ANASUMBUKIA NCHI YANGU
ANASUMBUKIA VIONGOZI WANGU
ANASUMBUKIA DUNIA YANGU
ANASUMBUKIA WATU WANGU
ANASMBUKIA WANYAMA WANGU
3
WA MILELE MUNGU WA BARAKA NI YESU BWANA
MILELE MILELE MUNGU WA BARAKA NI YESU BWANA
ANASUMBUKIA KANISA LAKE
ANASUMBUKIA KONDOO WAKE
ANASUMBUKIA SADAKA ZETU
ANASUMBUKIA MAOMBI YETU
ANASUMBUKIA NYIMBO ZETU
WAMILELE MILELEMUNGU,WA BARAKA NI YESU BWANA
WAMILELE MILELE MUNGU WA BARAKA NI YESU BWANA
No comments:
Post a Comment