Friday, February 15, 2013

AOMBAYE NAYE


AOMBAE NAE ATAPEWA 
AOMBAE NAE ATAPEWA
MWOMBE MUNGU,MWOMBE MUNGU
MWOMBE MUNGU MWOMBE MUNGUX2


ABISHAE NAE ATAFUNGULIWA
ABISHAE NAE ATAFUNGULIWA
BISHA LANGO,BISHA LANGO.
BIHA LANGO LA MBINGUNI.




ATAFUTAE ATAONA,ATAFUTAE ATAONA,
ATAFUTAE ATAONA,ATAFUTAE ATAONA
MTAFUTE BWANA,MTAFUTE BWANA
MTAFUTE BWANA,BWANA YESU





No comments:

Post a Comment