UKIPANDA MAOVU
UTAVUNA MAOVU
UKIPANDA YA DUNIA
UTAVUNA YA DUNIA
CHORUS
TUSICHOKE KUTENDA MEMA
{TUSICHOKE KTENDA MEMA}
MWENYEZI MUNGU ANASEMA
{TUSICHOKE KUTEMDA MEMA}
BWANA YESU ANASEMA
{TUSICHOKE KUTENDA MEMA}
UKIPANDA YALO MEMA
UTAVUNA YALO MEMA
UKIPANDA YA MBINGUNI
UTAVUNA YA MBINGUNI
9
No comments:
Post a Comment