Friday, February 15, 2013

MUNGU NI WA AHADI

BWANA MUNGU ALIMPA IBRAHIM
ALIMPA IBRAHIM,ALIMPA AHADI  X2

WOTE
NITAKUBARIKI,NITAKUONGEZA,
NITAKUBARIKI,NITAKUONGEZA X6



SISI SOTE NI WA AHADI 
AHADI YA BWANA.KWA IBRAHIMU

WOTE
AMETUBARIKI,AMETUONGEZA
AMTUBARKI AMETUONGEZA

No comments:

Post a Comment