1
TUNAPOSHIRIKI MEZA
MWILI WA BWANA YESU
DAMU YA BWANA YESU {INAKUA POA}
MATESO YA BWANA YESU
CHORUS
INAKUA POA............INAKUA BOMBA
INAKUA POA,,,,,,,,,,,,INAKUA BOMBA X5
2
TUNAPOSOMA BIBLIA
TUNAPOMWOMBA MWENYEZI { INAKUA POA}
TUIMBE NA MALAIKA
TUTOE NYINGI SADAKA
INSKUA POA..............INAKUA POA X5
3JINA LA YESU TAMU
TUWAITE WENZETU
WAMPOKEE BWANA YESU
WAWE WATOTO WAKE
BRIDGE
INAKUA POA.............INAKUA POA
No comments:
Post a Comment