KWA JINA LAKE YESU,,,,,NINAWEZAX6
NINAWEZA PONYA MAGONJWA
ALIWAPONYA WENYE MAGONJWA 1
NINAWEZA FUFUA WAFU 2
ALIMFUFUA LAZARO
NINAWEZA TOA MAPEPO
NA KUFANYA MIUJIZA 3
NINAWEZA SHINDA MAJAAWALIBU
ALIMSHINDA SHETANI, 4
NINAWEZA LISHA DUNIA
MAJI YAKAWA DIVAI, 5
NINAWEZA VUNJA MILIMA
NINAWEZAIGAWA BAHARI
WAKAPITA ISRAELI 6
KWA JINA LAKE YESU...MIMI NAWEZA X6
No comments:
Post a Comment