Saturday, April 6, 2013

TO MAGELIA

                                                                               ELIABELIA
                                                                               POBOX    JOELIA
                                                                               NOELIA CITY
                                                                               6 O4 2013

DEAR MAGELIA
HUJAMBO
MZIMA WEWE
HABARI ZA SIKU NYINGI

NI MIAKA MITATU SASA  TANGU TUMEONANA,KWA KWELI NAKUMISS NA KUKUMBUKA SANA MAGELIA,WANASEMJE HAPO NYUMBANI,BABU NA BIBI HUKU ARUSHA WANA WANA KUSALIMIA SANA,KWA KWELI WAMEKUKUMBUKA MPAKA BASI.POLE NA KAZI NYINGI ZA HUKO DODOMA.


NITAFURAHI SANA KAMA SIKU MOJA TUTAONANA KWA KWELI NIPO    VIZURI KI AFYA  NAENDEREA VIZURI NAMASOMO HOFU NA MASHAKA NI JUU YAKO MAGELIA
MIMI SINA MENGI YA KUKUANDIKIA ZAIDI YA KUKUTAKIA MAISHA MEMA.


WAKO SIKU ZOTE

ELIA ABELIA
ELAIJA ELIA
ELIA MWALUKALI


Friday, April 5, 2013

WIMBO MZURI

                               MAMA   TANZANIA
...................................................................................................................................................................

                                         BETI   YA 1
...................................................................................................................................................................

ASANTEMOLA,KUMUUMBA
MAMAMWEMA,TANZANIA
UMEMPA,MAZIWA HUBA
WATU WANYAMA,WANAVUTIA
MILIMABONDE,YA ASILI
MITO MAZIWA,YA ASALI
WAJIBUWETU,KWAKOMAMA
KUKUTUNZA,NENEPAVEMA

...................................................................................................................................................................
                                  KIBWAGIZO
..................................................................................................................................................................                

NAKUPENDA,NAKUPENDA
NAKUPENDA,TANZANIA                        X4


...................................................................................................................................................................
                                   BETI YA PILI
  .................................................................................................................................................................        
MAMAMWENYE,MENGI MAPENZI
UDUMU WAKO,MUUNGANO
MATATIZO,YALIYOPOTUSIYAHENZI
UONGOZI MUBAYA,UFISADI NA RUSHWA
UMASIKINI,MAGONJWA,UJINGA,UVIVU
NIADITHIE,ILESIRI,YA UMOJA,NA NGUVU
AMANI,UPENDO,UMOJA,MSHIKAMO

...................................................................................................................................................................
                                   BETI YA TATU
...................................................................................................................................................................
MAMAYANGU,TANZANIA
MATAIFA,YANASEMA
MAPENZIBORA,UMEJALIWA
WAKIMBIZI ,WAKULILIA
NYUMBANI,HAWARUDIA
AMANI,WALILIA
MAMAYANGU,TANZANIA
NIONESHE,YAKO MAHABA,
NIKUMBATIE,BUSUMWANANA
NINAKUPENDA ,WAKO MWANA
FAHARI,NINAHIONA
KUZALIWA,TANZANIA
MAMAMWINGINE,MIMISINA
NIKUPENDA,WAKO MWANA

...................................................................................................................................................................
LILIANDIKWA  TAREHE 5.4.2013
...................................................................................................................................................................
BY ELAIJA ELIA{ELIAKIM MWALUKALI}
....................................................................................................................................................................
                                       MAMA TANZANIA

I'M NOT SINGLE................SIKO PEKEE YANGU


                                     SIKO  PEKEE YANGU

NAWASHANGAA SANA WATU WANAOSEMA WAKO PEKEE YAO


NAWASHANGAA WATU WANAOLIA NA KUSEMA WAMEACHWA


NAWASHANGA WTU WANAOSIKITIKIA  UPWEKE




HUO UPWEKE UKO WAP NDUGU ZANGU?
HUO UPWEKE UNATOKA WAPI?
HUO UPWEKE UNASABABISHWA NA NINI?



KWA KIFUPI MIMI NAWEZA KUSEMA  I'M NOT SINGLE....KWA LUGHA YA KISWAHILI NAWEZA SEMA MIMI SIKO MPWEKE...



YUPO ANIONGOZAYE
YUPO ANIFUATAYE
YUPO ANISHIKAYE MKONO
YUPO ANISEMESHAYE
NA PIA UNIFANYA NITABASAMU NA KUCHEKA

"
NI NANI HUYO

HUYO NI MUNGU WANGU

MWANA WA MARIA
                                          "

          "      IM HAPPY BOY.....MIMI NI MVULANA MWENYE FURAHA"

mungu atasimama upande wangu milele



                                      UWE NAMI EEEWE BWANA


INGAWA DUNIA INANIONA KAMA KITUKO NA KICHEKESHO

INGAWA DUNIA INA NIONA KAMA SINA THAMANI

INGAWA DUNIA INA NIONA KAMA GUNIA LA TAKA TAKA

INGAWA DUNIA INANIONA KAMA  NIMEPOTOKA



RAFIKI ZANGU NINAHOONGEA ANO SIKU ZOTE WANA NIDHARAU NA KUNIKIMBIA



JIRANI ZANGU WANANICHUKIA NA KUNIEPUKA


MAADUI ZANGU WANAJENGA NGOME YA UADUI ILI NIINGIE MTEGONI



BWANA UWE NAMI  EWE MFALME


WEWE NDIE RAFIKI MWEMA NA PIA WEWE UWEZI KUNIDHARAU NA KUNIKIMBIA


WEWE NIJIRANI YANGU  HUWEZI KUNIKUNICHUKIA NA KUNIEPUKA

BALI WEWE UPO KARIBU NAMI MILELE NA MILELE

BWANA UNIJUZE NJIA ZAKO NJEMA  ILI NIZIFUATE

BWANA WEWE TU NI MKUU WA MATAIFA 
UNIONGOZE KATIKA NJIA YA FURAHA NA AMANI

NIKUJUWE WEWE TU
NIKUTUMIKIE WEWE TU
NIKUKUMBILIE WEWE TU
NIKULILIE WEWE TU
NIKUONE WEWE TU


UWE NAMI EWE BWANA NA MWOKOZI WANGU
UNIPIGANIE MPAKA KUFA
NAPATA RAHA SANA MOYONI UNAPOSEMA WANIPENDA

NANI NI MKUU KAMA WEWE


HAKUNA KAMA WEWE

UWE NAMI BWAN AWANGU
                  

USILIE SANA NDUGU YANGU

KILA CHOZI LITAFUTWA



INGAWA UNA SHIDA NA TABU NYINGI ZA DUNIANI

INGAWA UNA MATESO NA MASUMBUKO

INGAWA UNA MAUMIVU NA MAHANGAIKO

HATA UKIIANGALIA DUNIA WAONA KAMA NI MZIGO MZITO USIO BEBEKA


USILIE SANA NDUGU YANGU


WALA USIVUMILIE KUONA CHOZI LINA KUHUMIZA



MUNGU ANA LENGO NA MAISHA YAKO........


MUNGU ATAKUSIMAMIA NA KUKUPIGANIA

MUNGU ATAKUPA NGUVU YA KUYASHINDA MATESO NA MAUMIVU YAKO


PIGA GOTI
TAZAAMA JUU MBINGUNI

MTAZAME MUNGU
FUMBA MACHO

INAMA MBELE ZA MUNGU
MWAMBIE MUNGU

"BABA UNISAIDIE"

                                                         KILA CHOZI LITAFUTWA





elaija elia....................eliaabelia25@gmail.com

SINA CHA KUHAIDI MBELE ZAKO BWANA

                   UNIPE HAJA ZA MOYO WANGU





MWENYEZI MUNGU WA IBRAHIMI


MIMI SINA CHA KUKUPA MAISHANI MWANGU


NIKIKUPA SADAKA ZOTE ZINATOKA KWAKO


NIKIKUPA MALI FAHARI NA UTAJIRI VYOTE VINATOKA KWAKO


NIKUPE NINI EWE BABA WA FAHARI NA FARAJA


NIKUPE  NINI EWE BABA WA AMANI


CHUKUA MWILI WANGU....CHUKUA ROHOOO YANGU


LAKINI VYOTE HAVITOSHI  KWASABAU NI MALI YAKO



SIONI THAMANI YA KUKUPA UNIPACHO


ILA NAONA THAMANI KUWA MWANA WAKO



UNIPACHO NI KIKUBWA ZAIDI YA NITOACHO



MIMI NI MWENYENYE ZAMBI NA MKOSAJI


LAKINI BWANA UNIPE HAJA ZA MOYO WANGU


UNIONGOZE NA KUNISAIDIA



SALA YA LEO


  •                                  ASANTE SANA MWENYEZ MUNGU


mwenyezi mungu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyo


asante sana kunipa maisha haya niliyo nayo


nakushukuru sana baba kwa mapenzi bora unioneshayo



ewe baba umenipa elimu,akili na maharifa


umeniongoza ili niwe mtiifu mbele zako


baba asante kwa vyote


nikilitaja jina lako nahisi sijapungukiwa ana kitu 


maisha yangu yanakutegemea


roho yangu ina kulilia


ewe baba yangu wa mbinguni

nakupenda sana

nakuhitaji milele

uwe wangu mpaka kufa


unilinde na adui shetani



wala asipae nafasi ya kunitawala


ewe baba nakushukuru kwa mapenzi yote unipayo


katika jina la yesu mwana wa maria

amen