MSAANII AU WASAANII WANA KAZI KUBWASANA KWENYE MUZIKI KATIKA JAMII INAYO MZUNGUKA MBALI NA YEYE KUWA KIOO CHA KUFICHUA MABAYA,MATAKA TAKA UCHAFU CHAFU...KATIKA JAMII PIA NI MKOSOAJI MZURI TU MUELIMISHAJI..MCHUKIAJI..MPIGANAJI...MPINGAJI.. MSIFIAJI NAPIA MUONDOA MAOVU KATIKA JAMIII..
DAIMA MSAANII MZURI NI YULE MWENYE DHIMA[KAZI] MBALI MBALI KAMA ZIFUATAVYO
1.KUELIMISHA
2.KUKUZA LUGHA
3.KUKOSOA
4.KUBURUDISHA
5.KUONYA
6.KUWEKA KUMBU KUMBU
7.KUWAANDA WENGINE WAMFUATE
8. N.K [ETC] .....NAKADHARIKA
MBALI NA HAPO MSAANI MZURI ANAPOJIINGIZA KWENYE SANAA YOYOTE ILE IWE FILAMU, MAIGIZO,MUZIKI,SANAA ZA MAONESHO [KAMA NGOMA /MAZINGAOMBWE]FAHION ZA MAVAZI ANATAKIWA AWE NA MSIMAMO DHABITI KWAMBA SASA ANATAKIWA ATULIE MAHARI AMBAPO YEYE BINAFSI ANAONA AMEFIKA ,SIO KUHAMA HAMASIO KUKATA TAMAA NA SIO KULETA MALUMBANO.KWA MFANO MTU KAMA UNACHO KIPAJI CHA KUIMBA NYIMBO ZA KUMSIFU MUNGU [GOSPEL HITS] MSIFU DAIMA ILI WATU WABARIKIWE KUPITIA KIPAJI ULICHO NACHO .
NASIO KUTANGA TANGA KUTAFUTA MASILAI[MAANA UTALIPWA UKIFIKA KWA BWANA]PIA MTU KAMA UNAIMBA NYIMBO ZA ULIMWENGU[BONGO FLEVA RAP /HIP HAP REGGER,R&B ] DUMU PALE ULIPOFIKA MAAANA UKIJARIBU KUHAMA HAMA UTAPOTEZA MASHABIKI WAKO.........
TURUDI KWENYE MADA YETU ,MADA YA LEO NI KUHUSU WASAANI WENGI KUSHINDWA KUTIMIZA MALENGO ,NDOTO AU KUSHINDWA KUDUMU MUDA MREFU KWENYE HUU MCHEZO WA MUZIKI [MUZIK GAME] BAAADHI YAO WAMETENGENEZA NYIMBO NYINGI KARIBIA ALBUMLAKINI WAMESHINDWA KUUUZA NAKALA AU KOPI HATA MIA MOJA...WAPO WALIO INGIA KWENYE GAME KWA KULAZIMISHWA WAMESHINDWA KUENDEREA ,WAPO WALIOFANYA VIZURI KWA BAADGI YA NYIMBO LAKINI WAMESHINDWA KUWA JUU.....
KUNA LUNDO LA SABABU KWANINI BAADHI YA WASAANI WANAKATA TAMAAA YA KUENDEREA KATIKA HILI GAME LA MUZIK ..BAADHI YA HIZO SABABU NI KAMA IFUATAVYO..
1. KIPATO [A CAPITAL]
WENGI WA WASAANI HAWANA MTAJI WA KUTOSHA HIVYO WEWE KAMA NI MIONGONI MWA WATU WANAOPENDA MUZIKI KIUKWELI WEKA MOYONI KUWA KIPATO AU CAPITAL NI KITU CHA MUHIMU TENA SANA
2. UHABA WA WAFADHILI [AU KITAALAMU SUPPORTIVE SPONSORY] WENGI WA WAFADHILII KATIKA NCHI ZINAZO ENDEREA ESPECIALY TANZANIA HAWANA MOYO WA KUJITOLEA KUFADHILI HII SECKTA YA MUZIKI...TOFAUTI NA NCHI ZILIZO ENDEREA KAMA VILE BARANI ULAYA NA
3. MSIMAMO MBAYA WA JAMII[LACK OF SOCIETY STAND BY] JAMII YA SASANIJAMII ISIYO NA MSIMAMO KWANI IMEJIGAWA KATIKAMAKUNDI MAWILI WANAOKUBALI SANAA HIYO NA WANAOKATAA SANAA HIYO . KWA MFANO WAPO WANAOPINGA NYIMBO ZA DINI NA WAPO WANAO UNGA MKONO ..PIA WAPO WANAO KATAA KABISA BONGO FLEVA WAKIDAI KUWA NI NYIMBO ZA KIHUNI...
4.BAADHI YA VITUO VYA RADIO [RADIO MASS MEDIA]
KATIKA NCHI NZURI TANZANIA KUNA VITUO VINGI VYA REDIO KAMA VILE ....EAST AFRICA RADIO,MBEYA FM, CLUUD FM TBS KISS AND RADIO FREE AFRICA ... MBALI NA KUNA MAGAZETI KAMA VILE GROBAL PUBLISHER TELEVISION KAMA VILE TBS-E.A.TV- STAR TV NA CLOUD TV... VYOTE HIVYO VINA LENGO LA KUMTANGAZA MSAANI LAKINI WASAANII WANAPO PELEKA NYIMBO ZAOKWENYE VITUO HIVI BAADHI YA NYIMBO HAZIPIGWI ZINATUPWA KAPUNI... WASAANI WENGI WANAPO OMBA ZIPIGWE BAADHI YA NYIMBO UPIGWA ILA KWA SHARTI LA KUTOA MKWANJA MFUPI[PESA KIDOGO AU POSHO]
5. UHABA WA ELIMU [LACK OF ENOUGH EDUCATION]
WASANI WENGI WA TANZANIA HAWANA ELIMU YA KUTOSHA KUHUSU MUZIKI WENGI WAO WANAVAMIA SANAA HIYO MATOKEO YAKE IKIWASHINDA WANAITEMA , WENGI WAO NI VIBAKA WA MITAANI WALIOSIKIA KUWA MUZIKI UNA LIPA MAMILIONI YA SHILINGI ....INGAWA HAWANA VIPAJI ..WENGI WAO NI WENYE ELIMU YA SHULE YA MSINGI MPAKA KIDATO CHA NNE.KUNA VITUO VINGI VYA KUKUZIA VIPAJI KIKIWEMO THT[TANZANIA HOUSE OF TALENT] LAKINI WASAANI WENGI WALIVYO NA MOYO MGUMU HAWANA HAJA YA KWENDA HUKO KUJIFUA NA KUJITAKATISHA.
6.MSIMAMO WA MSAANII[ARIST STANDING]
INASIKITISHA SANA TENA SANA KUSIKIA KUWA WASAANI WENGI TANZANIA WANAFANYA MUZIKI KAMA KUUZA SURA TU WALA SIO KAMA FANI ,HOBI, AU KAZI FULANI , NI AIBU KUBWA TENA SANA KWA WASAANI
No comments:
Post a Comment