SHAIRI
NIKUONESHE PENDO
PENZI LANGU NI VITNDO
LIMEKOSA SIKENDO
NAKUPENDA BILA NYONDO
PENZI LAKO KUABUDU
HAKIKA NINA HUSUDU
MAHABAYA ZAHABU
NAYATANGANZA ARABU
POKEA NA ZAWADI
UA LA UARIDI
MAHABA YA ZAHABU
NAYATANGAZA ARABU
CHORUS
NIMEKUTIA MOYONI
NIM,EKUJAZA ROHONI
WANITIA AMANI
NINA KUAMINI
MAPENZI YA UZALENDO
MWENENDO NI VITENDO
NIPENDE NIKUPENDE
USIENDE UNITENDE
2 VERSE
HAKIKA NAKUTAMANI
NIMEKUTIA MOYONI
WEWE YANGU THAMANI
WANIJAZA AMANI
DAIMA NITAKULINDA
MILELE NITAKUPENDA
PENZI LAKO KUHESHIMU
NGAO YANGU DAWAMU
POKEA NA SALAAMU
MANENO YANGU MATAMU
MAHABA YA ZAHABU
MATAMU SIO ARAMU
MAHABA YA ZAHABU
NIPEWE BILA AIBU
MAHABA YA ZAHABU
MATAMAU SIO ALAMU
MAHABA YA ZAHABU
NAYATANGAZA ARABU
No comments:
Post a Comment