Thursday, December 13, 2012

shairi

MABUZI

Nimezaliwa juzi
hivyo sinao ujuzi
wa kuyajua mapenzi
sikilizeni hiyo tenzi
mimi na yangu lenzi
kubwa mwanga kurunzi
nayatafuta mabuzi
matamu yenye mchuzi
yenye mafuta andazi
yanifundishe hiyo kazi
mambo tanga majahazi
niyajue mapenzi

ubet wa pili

zanisumbua njozi
nakunitoa machozi
moyo wenye majozi
kwa kuyakosa mapenzi
nawaomba paparazi
mnisaidie hiyo kazi
mkiandika maga_newz
nipatiwe utambuzi
mengi mengi mabuzi
yanayojua ukombozi
yanayoweza mageuzi
yasopenda ubaguzi

bet ya 3
chonde chonde kumradhi
kama nime wahuzi
nisamehewe mtunzi
lengo lake mapenzi
sio kazi ubazazi
walakuleta uchochezi

No comments:

Post a Comment