Tuesday, November 29, 2011

!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!...........AMENIPENDA LAKINI SIMPENDI..........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

MPENDE AKUPENDAE NA ASIEKUPENDA ACHANA NAE

MAPENZI NI MAZURI KAMA UTAMPATAYULE  UMPENDAE NAYE AKAKUPENDA  LAKINI NJE YA HAPO NI MAUMIVU MAKUBWA SANA
USILAZIMISHE  KITU AMBACHO HAKIWEZEKANI JAPO YEYE ANAONESHA KUKUPENDA

LAKINI ITAKUWA NI NGUMU SANA KWAKO KUONESHA MAPENZI NAE AKAFURAHI KWA KUWA WEWE HAUJAMPENDA

UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUKAA NAE CHINI UKAMUELEZA  UKWELI KWAMBA HAUJAMPENDA ILI ASIJIGAMBE MOYONI KWAMBA IPO SIKU UTAMPENDA

MUELEZE UKWELI ILI NAYE AELEWE  MSIMAMO WAKO WA KUMPA NAFASI WA KUTAFUTA MWINGINE AMBAYE UTAMPENDA

                            MPE NAFASI
MUELEZE UKWELI
USIFICHE MOYONI
USILAZIMISHE KITU KISICHO WEZEKANA

.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kila mla cha mwenzake na chake uliwa...............................

WANAWAKE WENGI WAMEKUWA NA TAMAA YA FEDHA  TU
ASILIMIA KUBWA YA WANAWAKE WAKITONGOZWA KITU WANACHOKIFANYA NI KUMGEUZA MWAUME KUWA KITENGA UCHUMI
JAPO WATU USEMA PASIPO NA FEDHA HAKUNA MAPENZI .LAKINI UKWELI NIKWAMBA WANAWAKE WENGI WAMEZIDI NA NDIO UFANYIWA VITENDO VYA KIHUUNI/UKATILI KWA AJILI YA TAMAA YA FEDHA...................
                          IKUMBUKWE KWAMBA  KILAMLA CHA     MWENZIE NA CHAKE ULIWA
                 

Wednesday, November 16, 2011

Mbeya Yetu: BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya...

Mbeya Yetu: BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya...: majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili ki........

                       MY FATHER    ABELI MWALUKALI
''INANIUMA SANA TENA SANA  KWA SABABU BABA YANGU MZAZI NAE ALIJERUHIWA KATIKA MAPAMBANO HAYO

 INGAWA BABA YANGU SIO MMOJA WA WAMACHINGA HAO  ...ALIKUA ANAPITAPITA TU NDIO GHAFRA KWA BAHATI MBAYA RISASI YA MOTO IKAPITA KWENYE MKONO WAKE.....

LAKINI NI JAMBO LA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA SABABU BABA YANGU YUPO HAI

                               ASANTE SANA MWENYENZI MUNGU KWA SABABU BABA YANGU YUPO HAI

                                NAKUSHUKURU SANA MWENYEZI MUNGU KWASABABU UNAMRINDA NA KUMPIGANIA

                              EWE MOLA WA ABRAHAM...AIZAK...JACOB...MUSA....ISSA[JESUS/YESU]..MUNGU WA ELIA ....NAOMBA UILINDE NYUMBA YETU IEPUKANE NA MAJANGA HAYO....

                              MWENYEZI MUNGU WEWE NI MWENYE NGUVU DAIMA...MAANA UNATAMBUA KUWA WATOTO BILA BABA WALA MAMA DAIMA WANAPATWA NA MATESO MENGI...HIVYO MWENYEZ MUNGU WAPE MAISHA MAREFU WAZAZI WANGU
                    
   UWAEPUSHE NA MATESO YOTE YATAKAYO WAKABILI,WAONGOZE KATIKA NJIA YA UZIMA DAIMA,
                      
    UWATANGULIE KATIKA MAMBO YOTE MAANA WEWE NDIE MWENYE NGUVU ,UWEZO,UTUKUFU NA UPENDO ZAIDI

                       MWENYEZI MUNGU SIMAMA UPANDE WAO DAIMA  UWENGUZO YAO ...UWATAZAME KWA MACHO YAKO YA HURUMA

            MWENYEZI MUNGU AGIZA MALAIKA WAKO WAWALINDE WATIWENGUVU DAIMA,
                EHEEE BABA MUNGU  WAEPUSHE NA MIKOSI MBALI MBALI YA KIDUNIA NAJUA KUWA DAIMA MWOVU HAPENDI KUONA WATU WAKO WANAPUMUA NA KUISHI KWA AMANI DUNIANI...........
                                        MUNGU UWENASI DAIMA
                               
                             KWA HAYA MACHACHE BABA NAKUOMBA NA KUSEMA AMEN..''.
                                                        23.NOVEMBER.2011
                                   ELIA ABELIA
                                  .......................